Linda Joseph
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 462
- 863
Wamekosea sana jaman.mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama kapendeza Sana, ila watu wake wanachofanyia , inatia mashaka Sana, kazungukwa na chatu, rais shutukaWalioandaa ziara hawakujua kuwa rais atalazimika kuvaa life jacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe.
View attachment 1917836
Ina maana yeye hana akili ya kuona Hilo jacket halimtoshi?Mama kapendeza Sana, ila watu wake wanachofanyia , inatia mashaka Sana, kazungukwa na chatu, rais shutuka
vitu vidogo vidogo kama hivi hata Rais hawamjali wataweza kweli kupambana na Ugaidi?Walioandaa ziara hawakujua kuwa rais atalazimika kuvaa life jacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe.
View attachment 1917836
Hii life jackets ya mama ni saizi yake, lakini inaonekana yeye kwa ndani kavaa jacket ya bulletproof ndio iliomsababisha hilo.Walioandaa ziara hawakujua kuwa rais atalazimika kuvaa life jacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe.
View attachment 1917836
Saizi yake isingepatikana, inaonekana ndani kavishwa BULLETPROOF!Ni Kama makusudi hivi! Ina maana hawana hayo madude yenye ukubwa zaidi ya huo????? Halafu huyo wa pembeni Kama anacheka !!