Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bora tozo ya vidole hapa wanaangalia ka uwezekano ka kuipachika tozo kwenye bill ya maji
Kwenye bill ya maji, siyo? ili twende sawa na walipaji wa bill ya umeme..........ngoja nimwite fasta waziri wa tozo aje achukue hapa chanzo kingine cha mapato, si bure wewe utakuwa na undugu na Zungu, maana si kwa kubuni huku vyanzo vipya vya mapato............
 
Mimi sijawahi kumuona Rais wetu kuvaa nguo mbaya siku zote anapendeza na hapo ni baharini mlitegemea avae bugaluu, hio ni skintight na ndio nguo za kuvaa bichi sema waliomfunga mkanda ndio walishindwa kubaini wapi unachomekwa, ila Raisi Samia nae ndie huwaga hana makuu, inavyovalika ndivyo inavyovaliwa na vile alivyoivaa hazami hata wakimzamisha.
 
/KWANI NANI KAMVAA MWENZAKE/

MAMA NDIYO AMELIBANA JACKET

/AFU WAZIRI MWENYE DHAMANA YUPO WAPI KWANI/?

NB: aya ni mawazo ya kiroho tu, hayana ushahidi
 
Walioandaa ziara hawakujua kuwa rais atalazimika kuvaa life jacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.

Samia anachezewa sana na watu wanaomzunguka yeye hajui tu!
 
Kama amekosa za saizi yake ilikuwa wamvalishe 2.
Moja mikanda aifungie mbele na na moja aifungie nyuma.
 
Walioandaa ziara hawakujua kuwa rais atalazimika kuvaa life jacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.

Lack or seriousness (or) otherwise..... Totally unacceptable.
 
Walioandaa ziara hawakujua kuwa rais atalazimika kuvaa life jacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.

Juzi hapa alisema wasichana wanaofanya mazoezi wanapoteza matiti lazima tufikirie hayo kwa kuwa wanaweza wasiolewe. Labda kuna mtu mtundu alitaka kumuonyesha kuna faida za kuwa na matiti madogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom