Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Hiyo ni photo shop,
Chunguza mkono unatokea kwenye sikio [emoji23]
 
Walioandaa ziara hawakujua kuwa rais atalazimika kuvaa life jacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.

Ni kweli kabisa. Aliyemvalisha Mh Rais wetu hii jaketi hajamtendea haki. Ilipaswa jaketi yake iandaliwe mapema sio kuja kumdhalilisha kwa kiasi hiki. Hawa inawezekana wakawa timu ya MATAGA wanaompinga mama katika kila juhudi anazofanya kuiletea maendeleo nchi hii ya Tanzania. Wale wote walioandaa ziara hii, nashauri wafutwe kazi ili liwe funsisho kwa wpuuzi wengine kama wao.
 
Sawa. Kuna baadhi ya miCCM hasa MATAGA hawamtakii mema mkuu. Nilipoona unatetea nikajua nawe umo kumbe sio. Sorry. miCCM ni mijitu ya ajabu sana. Hata hizo tozo nadhani kuna baadhi ya miCCM inapenda ziendelee ili kumharibia mama.
Nisamehe kwa lugha ya kuudhi pia mkuu nitafuta nawe ufute hiyo quote.

Nilikuwa namkubali mama lakini kila uchao anafeli...ame prove kuwa ana uwezo mdogo, vinginevyo angeona hata team inayomzunguka inamhujumu lkn wala haoni.

Pili miccm inafurahia kuona anapuyanga ili wafanye yao.

Mimi kamwe siwezi kuwa ccm, lkn akiwepo mtu mtenda haki na hana hila na yuko ccm namuunga mkono pia
 
Msijadili vya maana jadilini uzwazwa ndomana tunapigwa tunabung'aa
 
Hiyo ni photo shop,
Chunguza mkono unatokea kwenye sikio [emoji23]
B1F8D0FA-1413-4A08-8616-6A3E428F51C8.jpeg
 
Simlisema anaupiga mwingi sana, subirini tozo mpaka za kunya na kukojoa nyambaf, mnahangaika na mambo sijui ya kubanwa na nini, sasa kama mwili mkubwa hana saizi mlitaka kitu gani labda
 
Nayeye ikawaje akakubali kuivaa?!...

Ni kama nchi haina mwenyewe vile asee.
 
Simlisema anaupiga mwingi sana , subirini tozo mpaka za kunya na kukojoa nyambaf , mnahangaika na mambo sijui ya kubanwa na nini, sasa kama mwili mkubwa hana saizi mlitaka kitu gani labda
Angeahirisha hii ziara kuliko aibu hii!
 
Back
Top Bottom