Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Mleta mada umechanganya mambo,Kwani huyo pichani ni Rais au mama samia suluhu hassan.Mleta mada ingependeza zaidi heading yako ingesomeka

"Kumvisha mama samia suluhu hassan Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa"​

Vyote viwili.
 
Yanararuana bungeni badala ya kujadili tozo
 
Yanararuana bungeni badala ya kujadili tozo
mazombi, mimi nasemaga ukiona limtu hata darasa la nne halijafika na liko mule linapigapiga meza ujue hamna kituuuuu, mwenzao alitoa siri zao kwamba hawalipi kodi, basi imekua taaabu wakati ni ukweli hayalipi chochote yanapigapiga meza tu kama mataahira
 
Jerry ameonewa lkn amegeuka kuwa shujaa
 
meishia kuwaza utofauti wa wale wachezaji wa mpira vifuani mwaoo, na uvaaji wa life jacket
 
Safari za kushitukiza zinazaa maandalizi ya dharura ambayo mara nyingi huwa hayakidhi uhalisia wa mahitaji.
Kwa vyombo vya Usalama hiyo si safari ya kushitukiza ila kwa sisi wananchi ndio inakuwa ya kushitukiza. Hakuna sababu ya kujitetea kuna mtu hapa hajatimiza wajibu wake. Hii ni fedhea kwa taasi yenye kuhakikisha usalama wa kiongozi. Mtu awajibishwe ili iwe fundisho.
 
Hii haijakaa sawa, kwani aliwashtukiza au ilikuwa ipo kwenye ratiba hii ziara?
 
Mke wa mwinyi hapo imemkaa sawia na kapendeza mashallah, kwanini wanamemfanyia hivi Rais wetu? Kimuonekano na kiusalama 0%

Utashangaa kuna watu wanateteea na hili! Hatutaki kifo cha Rais, tumejifunza tafadhali.
 
Huwenda kuna mengi unayajua, embu tueleze kwani kifo cha Hayati Magufuli kilitokana na uzembe wa wasaidizi wake?
 
Sasa hapo Life jacket ni hako kadude alikovaa au Mama samia ndiyo life Jacket ya kuzuia hicho kifaa kisipotee?

Yaani utafikiri mama Samia ndiyo kaikumbatia hiyo jacket isipeperushwe na upepo.

Kilome!.
 
Hata ikitokea wakazama hiyo life jacket haiwezi kumfanya aelee!

Mambo madogo tu ni shaghalabaghala. Mpaka kwenye kuchomwa chanjo dunia nzima wanavaa gloves yeye rais mzima anashindiliwa chanjo na mtu asiye na gloves. Ni mambo madogo sana lakini yanaonyesha ni jinsi gani ambavyo hatuko siriazi.
 
Back
Top Bottom