Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Mleta mada umechanganya mambo,Kwani huyo pichani ni Rais au mama samia suluhu hassan.Mleta mada ingependeza zaidi heading yako ingesomeka

"Kumvisha mama samia suluhu hassan Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa"​

Hapa sijajua umemaanisha nn😲😲,
Nijuavyo SSH ndiye raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mungu mpe maisha marefu mama SSH,aongoze nchi Kama ikupendezevyo,Amen
 
Saizi yake isingepatikana, inaonekana ndani kavishwa BULLETPROOF!
Sidhani, mama ana umbile pana kifuani. Kosa lao ni kutokujua size yake ya kifua na kumvisha litakalomtosha, hilo lingeweza kumnyonga kama lingetokea la kutokea.
 
Jese John: Mwl Kashasha hii kitaalam inaitwaje?
Mwl Kashasha: Jese Joh hii kitaalaam inaitwa Royal Jacket tour
 
Profesa Juma Assad alisema:
"90% ya viongozi wa Tanzania ni wajinga".
Kwa hiyo hata hawa wasaidizi wa mheshimiwa rais wanaangukia kwenye nadharia ya profesa Assad.
Mimi ninachojiuliza, je kulikuwa na umuhimu wa mama kuvaa hilo jacket wakati anaona kabisa halimtoshi? Au hajui size yake, au amelazimishwa? Mbona hiyo mheshimiwa pembeni yake hajavaa? Au ndio kutudanganya kama Waziri Gwajima na mwenzie wakinywa ile mizizi kumbe bosheni tu, leo wanasema chanjo muhimu.
 
Mfanfanyio huyo mama Mungu anawaona ,
Nyie wanenguaji huwa mnanengua hata mtu akipiga chafya. Ni lazima kila utawala na ninyi kuwepo?

Mnakosa akili na ubunifu mnaongezea Tozo na Kodi kwa maskini muwe mnazunguka zunguka tu nchi mbalimbali...
 
Kwani kavaa Kama fashion au kujilinda na hatari majini? Tuanzie hapa karibuni
 
Walioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.

Hayana tofauti na kanzu aliyovaa Magufuli enzi zake kwenye sherehe ya waislam..,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom