Ataelea tuHahahhaha nimecheka sana, sasa hapo ikitokea ajali baharini ataweza kujiokoa kweli?
kazi umbea tuu.Walioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.
Hahahahaaa.Ngoja nii download kabisa, CCM hawaaminiki. Wanaweza kuifuta muda wowote na kukanusha Rais hajawahi kuvaa lifejacket
Walioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.
Big mistakeWalioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.
ππππππππbora tozo ya vidole hapa wanaangalia ka uwezekano ka kuipachika tozo kwenye bill ya maji
Lifejacket haijambana , yeye ndo kaibana lifejacket!Walioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.
itakuwa hakuna saizi yakeWalioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.
Chifu hangaya hawezi kuzamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeamini sasa kuwa Maza anadharauliwa sana na waliomzunguka.
Hapo akitumbukia kwenye maji hiyo life jacket inamvuka fasta