Kumwacha jela kifungo cha mwaka kutasaidia kutoa sumu ya ulevi wa pombe?

Kumwacha jela kifungo cha mwaka kutasaidia kutoa sumu ya ulevi wa pombe?

Pole sana kwa yaliyo kukuta huko jela mkuu, Huenda ulizoea kazi za kalamu ila huko jela kazi za nguvu ulizishindwaikabidi usaidiwe .

Kwa upande wa huyu sio lele mama, Ni ngangali haswaa, kazi zake ni kuchoma matanul ya matofali, kufyatua matofali, Kulima n.k
[emoji3] mkuu, tembelea jela siku moja ndio utaelewa. Sawa muweke hiyo miezi 6 siku akitoka kamuulize

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mpeleke kwenye vituo, japo wengine wanakuja kurudia,

Jela siyo kuzuri.

They're disturbing but no way out.

Fanya sala na dua pia.
 
Mpeleke milembe muweke miezi 2 tu utanishukuru baadae ila jera hapana
 
Kama kweli unataka kumsaidia jamaa usiruhusu aende gerezani, fanya bidii arudi uraiani ikiwezekana mteleke kwenye vituo vya kuwarekebisha watu walioarithiriwa na uraibu wa vilevi kama pombe, sigara, bangi nk..
 
Mpeleke rehabilitation center ukimpeleka jela utakua umempoteza jela sio mahali pazuri. Mtu kama huyo haitaji adhabu anahitaji kusaidiwa na masaada unapatikana rehab na canceling
 
UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni

Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea kwasababu ya ulevi wake wa pombe.

Kazi anafanya za ujenzi wa nyumba, kuchoma na kuuza matofali, kufyatua matofali , n.k n.k, Ni kijana mchapa mwenye mwili wenye misuli iliyojaa na mchapa kazi ila pombe inamharibu

Sasa nimeona labda aende tu huko gerezani maana kosa lake ni la mwaka 1 na nuu hivi gerezani endapo nisipomtoa.

Kesi yake nimeshaifatilia huwa inasikilizwa haraka mahakamani na hukumu hutokewa papo hapo,

Sasa nimeona huenda akienda huko jela hio sumu ya uraibu itamtoka.

Je, nichukue huu uamuzi?
Ok sawa huenda itasaidia kwa muda lakini akitoka hali itaweza kuwa mbaya zaidi huenda akaangukia kwenye msongo wa mawazo zaidi.

Mpeleke hospitali ya mirembe Dodoma wanaujuzi wa kudeal vizuri na watu wa aina hiyo akitoka hapo atakuwa na mwanga wa matumaini.
 
UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni

Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea kwasababu ya ulevi wake wa pombe.

Kazi anafanya za ujenzi wa nyumba, kuchoma na kuuza matofali, kufyatua matofali , n.k n.k, Ni kijana mchapa mwenye mwili wenye misuli iliyojaa na mchapa kazi ila pombe inamharibu

Sasa nimeona labda aende tu huko gerezani maana kosa lake ni la mwaka 1 na nuu hivi gerezani endapo nisipomtoa.

Kesi yake nimeshaifatilia huwa inasikilizwa haraka mahakamani na hukumu hutokewa papo hapo,

Sasa nimeona huenda akienda huko jela hio sumu ya uraibu itamtoka.

Je, nichukue huu uamuzi?
Mwaka ni mda mrefu lkn
 
USIJE UKAWA UNATUFUMBIA FUMBO WEWE JAMAA KUNA JAMAA YETU YUPO NDANI SASA KARIBU SIKU YA 85,NAYE ANAPENDA CERVEJA VIBAYA SANA
 
Kuna mwana alikuwa cha tunguu balaa sasa bi mkubwa wake akamwambia nikutafutie dawa ya kuacha pombe jamaa akakubali akapewa na masharti juu kuwa akirudia pombe atakufa basi bhana ikapita miezi kama sita jamaa ajatia maneno (pombe) na yuko fresh tuu sasa siku wanae wanakula mtungi nae akaja jamaa wakamshawishi mpaka akagusa kidgo kusikiliza itakuwaje kucheka kesho uwanja fresh tuu hakuna madhara yoyote basi bwana gari lilivyowaka ilikuwa na mara mbili ya mwanzo jamaa alikuwa mlevii balaa mpka leo. Hili swala kuacha pombe ni maamuzi ya mtu kutoka ndani kama hajaamua ni ngumu sana
Huyo ni kumchanganyia madawa kwenye pombe tu atapike mpaka akili inayomtuma aende bar!
 
Watampiga pipe atatoka anajiharishia
 
Acha roho mbaya,jela sio kunamnyoosha kila mtu mwingine ndio anaharibika kabisa.
Mwekee dawa za kimasai za kuacha pombe.
 
UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni

Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea kwasababu ya ulevi wake wa pombe.

Kazi anafanya za ujenzi wa nyumba, kuchoma na kuuza matofali, kufyatua matofali , n.k n.k, Ni kijana mchapa mwenye mwili wenye misuli iliyojaa na mchapa kazi ila pombe inamharibu

Sasa nimeona labda aende tu huko gerezani maana kosa lake ni la mwaka 1 na nuu hivi gerezani endapo nisipomtoa.

Kesi yake nimeshaifatilia huwa inasikilizwa haraka mahakamani na hukumu hutokewa papo hapo,

Sasa nimeona huenda akienda huko jela hio sumu ya uraibu itamtoka.

Je, nichukue huu uamuzi?
Tatizo la Jela ni moja, hapatabiriki..
Anaweza akatoka amejifunza na akawa Raia mwema kabisa.
Au anaweza akatoka huko ameshageuka Mafia na Katili balaa.
 
Angalia na aina ya mtu mwenyewe kuna mwingine NDIO ataathirika zaidi
 
Kwanini usimpeleke rehab akapate ushauri na uwangalizi kwa mda wa miezi sita.jela paskiee tu ndungu yangu,unaweza ikawa ujamsaidia Ila umemuongezea matatizo na kusababishia kurudi na magonjwa mengine mengi Kama kifua kikuu
 
Ingawa mwaka mmoja ni mwingi lakini huoni baadaye itakuwa kama uhasama kwamba hujamsaidia?ila ni funzo akitoka akili itamkaa sawa
Acheni ufala jitu levi na sumbufu halafu unasema uhasama? Nilipokuwa mdogo nilienda shule kwa viboko lakini leo naiona faida ya vile viboko
 
Mpeleke hospitali ya Mirembe

Gharama zao kwa mwezi ni 450000 - huduma za dawa na msaada wa kisaikolojia kutoka kwa watalaamu.

Mwisho wa siku atatoka huko akiwa na mawazo ya kujenga na si kunywa Pombe tena. Mlipie akae hata miezi 4 badala ya kukaa mwaka mzima gerezani akipigwa miti

Ukifanya hivyo utarudi hapa kutoa mrejesho.
 
Back
Top Bottom