Muogope sana mtu anayetaka kukuweka jela, jela hakufai.. alinambia jamaa angu alikula miaka 5 kwa kosa la bahati mbaya sana.. usimpeleke jela tafuta njia nyingine mkuuJela kubaya sana kusikie kwa mtu tu.
[emoji3] mkuu, tembelea jela siku moja ndio utaelewa. Sawa muweke hiyo miezi 6 siku akitoka kamuulizePole sana kwa yaliyo kukuta huko jela mkuu, Huenda ulizoea kazi za kalamu ila huko jela kazi za nguvu ulizishindwaikabidi usaidiwe .
Kwa upande wa huyu sio lele mama, Ni ngangali haswaa, kazi zake ni kuchoma matanul ya matofali, kufyatua matofali, Kulima n.k
Ok sawa huenda itasaidia kwa muda lakini akitoka hali itaweza kuwa mbaya zaidi huenda akaangukia kwenye msongo wa mawazo zaidi.UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni
Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea kwasababu ya ulevi wake wa pombe.
Kazi anafanya za ujenzi wa nyumba, kuchoma na kuuza matofali, kufyatua matofali , n.k n.k, Ni kijana mchapa mwenye mwili wenye misuli iliyojaa na mchapa kazi ila pombe inamharibu
Sasa nimeona labda aende tu huko gerezani maana kosa lake ni la mwaka 1 na nuu hivi gerezani endapo nisipomtoa.
Kesi yake nimeshaifatilia huwa inasikilizwa haraka mahakamani na hukumu hutokewa papo hapo,
Sasa nimeona huenda akienda huko jela hio sumu ya uraibu itamtoka.
Je, nichukue huu uamuzi?
Mwaka ni mda mrefu lknUPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni
Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea kwasababu ya ulevi wake wa pombe.
Kazi anafanya za ujenzi wa nyumba, kuchoma na kuuza matofali, kufyatua matofali , n.k n.k, Ni kijana mchapa mwenye mwili wenye misuli iliyojaa na mchapa kazi ila pombe inamharibu
Sasa nimeona labda aende tu huko gerezani maana kosa lake ni la mwaka 1 na nuu hivi gerezani endapo nisipomtoa.
Kesi yake nimeshaifatilia huwa inasikilizwa haraka mahakamani na hukumu hutokewa papo hapo,
Sasa nimeona huenda akienda huko jela hio sumu ya uraibu itamtoka.
Je, nichukue huu uamuzi?
Huyo ni kumchanganyia madawa kwenye pombe tu atapike mpaka akili inayomtuma aende bar!
Tatizo la Jela ni moja, hapatabiriki..UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni
Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea kwasababu ya ulevi wake wa pombe.
Kazi anafanya za ujenzi wa nyumba, kuchoma na kuuza matofali, kufyatua matofali , n.k n.k, Ni kijana mchapa mwenye mwili wenye misuli iliyojaa na mchapa kazi ila pombe inamharibu
Sasa nimeona labda aende tu huko gerezani maana kosa lake ni la mwaka 1 na nuu hivi gerezani endapo nisipomtoa.
Kesi yake nimeshaifatilia huwa inasikilizwa haraka mahakamani na hukumu hutokewa papo hapo,
Sasa nimeona huenda akienda huko jela hio sumu ya uraibu itamtoka.
Je, nichukue huu uamuzi?
Acheni ufala jitu levi na sumbufu halafu unasema uhasama? Nilipokuwa mdogo nilienda shule kwa viboko lakini leo naiona faida ya vile vibokoIngawa mwaka mmoja ni mwingi lakini huoni baadaye itakuwa kama uhasama kwamba hujamsaidia?ila ni funzo akitoka akili itamkaa sawa
Nyie watu wepesi sana kutoa takoUtampeleka mlevi anaacha anarudi na USHOGA . Bora nini !!??