Ati wahariri wanamwalika KM wa CCM kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa Jukwaa la Wahariri! Wahariri wenyewe ndio hawa, nimesikitishwa sana, yaani hawa ni wahariri wa gazeti la Uhuru na Mzalendo, wanawaza kushabikia CCM tu.No reform no election
Kaka hata Kama mnafanya uchaguzi nyinyi fanyeni tuu
Mzee wangu pascal yaaan usitufanye Sisi vijana tukudharau
Watanzania sio waninga tena.Swala hapa ni mabadiliko ya kisheria na kauni kabla ya uchaguzi mkuu,hitaji la haki na usawa kwenye chaguzi ujao halikwepeki tena,mengine anazungumza kunifariji tu.Wanabodi
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe.
View attachment 3297015
Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana TEF kwa kauli moja, wamemchagua tena Deodatus Balile, kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri kwa kipindi kingine cha miaka 4 kwa Balile kupita bila kupingwa. Sambamba na Balile, Bakari Machumu pia amepita bila kupingwa kuendelea na nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa TEF.
Sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, pia wana TEF wamewachagua wahariri 7 kuunda kamati mpya ya utendaji, hivyo kwanza natoa pongezi kwa uongozi mpya wa TEF.
Pili natoa pongezi kwa Mgeni rasmi kwenye siku ya kwanza ya mkutano huo maalum ni Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM, na mgombea mwenza wa urais wa JMT, kwenye uchaguzi mkuu wa October, 2025 kwa kuitikia wito wangu nilioutoa kwenye safu hii, siku chache zilizopita kuwa Chadema na Wapinzani wanahitaji kusaidiwa, Pre GE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika! Dr. Nchimbi ameanza kuwasaidia kwa kuwaambia ukweli, kuwa hawawezi kusimamisha uchaguzi Mkuu.
Kuwaambia ukweli watu wanaodanganywa ni kuwasaidia, hivyo Balozi Nchimbi amewasaidia Chadema kwa kuwaelimisha kuhusu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu, katika utekelezaji wa kauli mbiu ya mkutano huu ni āUchaguzi Huru na wa Hakiā na kuwa kushiriki uchaguzi ni hiari, kuanzia kujiandikisha kupiga kura, kupiga kura, na kugombea ni hiyari.
Hivyo kama kuna chama kimeamua hakitashiriki uchaguzi huu ni rukhsa kutoshiriki, na akawasisitiza watu, tusiwalazimishe kushiriki wasiotaka kushiriki, na tusiwalazimishe kugombea, wasiotaka kugombea.
Ila Dr. Mchimbi amesema ni kosa kisheria, mtu yoyote au taasisi yoyote, ama kujaribu kuzuia uchaguzi, ama kuzuia watu wengine wasishiriki uchaguzi, na amewahakikishia Watanzania wote, kuendelea kutembea kifua mbele kwenye maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, uchaguzi mkuu upo, kwasababu uchaguzi mkuu ni jambo la kikatiba, haktionuna mtu yoyote, au taasisi yoyote inayoweza kusimamisha uchaguzi mkuu, kauli mbiu ya Chadema ya No Reforms, No Election ni kauli ya hadaa tuu kutaka kujifurahisha, Wananchi wameshauriwa kupuuza kauli hizo na hadaa tupu!.
Dr Nchimbi amemshauri Tundu Lissu, Chadema na wafuasi wao, kuwa sio lazima kushiriki uchaguzi wa mwaka huu, kuna uchaguzi mwaka 2030, 2035, 2040, 2045, 2050 na kuendelea, na akawaomba, kama chama chao kimeamua hakitashiriki uchaguzi, basi kisiwazuie wale wanaotaka kushiriki, na kama wameamua hawagombei, basi yeye, wanachama wake na wafuasi wake wajitokeze kuwapigia kura waliokubali kugombea ili kuitumia haki yao ya kikatiba ya kidemokrasia kuchagua viongozi wao.
Aidha amewaomba wahariri:"Tutumie nguvu yetu ya kalamu kuhamasisha na kukemea wanasiasa wa pande zozote awe chama tawala au upinzani.āAmetamka kauli za kuleta uvunjifu wa amani wasizipe kipaumbele, āmtu akiongea kitu cha ovyo tuviache."
Dk Nchimbi amesema mkifanya uchaguzi huru na wa haki mnakuwa mfano mzuri kwa nchi yetu:"Na mnatufundisha na sisi kuzingatia matakwa ya Katiba zetu na taasisi zisizofanya uchaguzi zinafubaa, zinadumaa na zinakufa."
"Zipo taasisi zingine hazifanyi uchaguzi na nusu ya taasisi tulizonazo nchini hazifanyi uchaguzi na kwa ninyi wahariri kufanya uchaguzi mnakuwa na ujasiri wa kulisemea hilo kwa nguvu zote," amesema Dk Nchimbi ambaye amewahi kuwa naibu waziri na waziri wa habari.
Amesema anauelewa wa tasnia hiyo na ugumu wanaoupitia na kwa kazi wanayoifanya wamechangia kuzielezea kwa kina 4R za Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi wamezielewa.
"Mtu anaweza asielewe kirahisi lakini kazi mnayoifanya ni kubwa sana. Kama mngekuwa hamfanyi vizuri tungekuwa na makesi mengi mahakamani, lakini ni mara chache sana mmekuwa mnateleza ila kwa niaba ya hama cha Mapinduzi na Watanzania wapenda amani tunawapongeza sana," amesema Dk Nchimbi.
Amesema vyombo vya habari ni muhimili wa nne na ni kioo wa Bunge, Serikali na Mahakama na kupitia kwao vinajiona wapi wamekosea na wapi warekehishe.
Kuhusu hali ya uchumi wa vyombo vya habari, Dk Nchimbi amesema watahakikisha Ilani ya uchuguzi ya CCM ya mwaka 2025/2030 suala hilo linakuwamo na linapewa kipaumbele kikubwa.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwijuma maarufu Mwana FA amesema Serikali inatambua changamoto inayozikumba vyombo vya habari, ikiwemo uchumi wa vyombo vya habari.
"Serikali inafanyia kazi, ikiwemo Rais Samia kubadilisha mitizamo ya tasnia ya habari na waandishi wafanye kazi yao kwa uhuru."
Naibu Waziri huyo ambaye pia ni mbunge wa Muheza (CCM), amesema huu ni mwaka wa uchaguzi wa madiwani, ubunge na urais, hivyo amewaomba wahariri kuhakikisha wanasisitiza amani, ushiriki wa wananchi kwenye uchaguzi:"Tuwahamasishe wananchi washiriki uchaguzi na si kususia uchaguzi."
Aidha, naibu waziri huyo amewatakia kila la heri wagombea wote wa TEF na hata wale watakaoshindwa.
Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema uendelevu wa kiuchumi, uhuru wa habari na upatikanaji wa matangazo na Serikali inatambua hilo, imekuwa inafanya mikakati mbalimbali.
Balile amesema ukweli ni kwamba uchumi wa vyombo vya habari ni mgumu na hiyo inaweza kuwa hatari kwa wananchi na jamii.
"TEF inaendelea kuwa mstari wa mbele kuhakikisha uweledi kwa habari na waandishi wa habari na matumizi ya njia za kidijitali yanazingatiwa," amesema Balile.
Amepongeza Serikali kwa kuanzisha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari na kati ya wajumbe sita wanayoiunda, watatu ni wajumbe wa TEF na hiyo ni dalili nzuri kwa tasnia hiyo.
Bodi hiyo inaongozwa na Mwenyekiti wake, Tido Mhando ambaye ni mwandishi nguli ndani na nje ya Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Hatujui kuwa sisi ni watoto wa 2000No reform no election
Kaka hata Kama mnafanya uchaguzi nyinyi fanyeni tuu
Mzee wangu pascal yaaan usitufanye Sisi vijana tukudharau
Hili bandiko mtu kama asipokuwa makini, anaweza kufikiri labda mwandishi ni Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa; ambao ni CHAWA maarufu humu jukwaani. Ila ukija kuangalia vizuri unakuta kumbe mwandishi ni mwingine kabisa.Wanabodi

ni kama nyumbu tu walivyo wa hovyo,Hili bandiko mtu kama asipokuwa makini, anaweza kufikiri labda mwandishi ni Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa; ambao ni CHAWA maarufu humu jukwaani. Ila ukija kuangalia vizuri unakuta kumbe mwandishi ni mwingine kabisa.

No reform, no election. Fisi wote mtakimbia nchi mwaka huu.ni kama nyumbu tu walivyo wa hovyo,
badala ya kujikita kwenye hoja mahususi hata kama ni nzito kuliko upeo wa fikra zao, wanajikuta wanaanza kutag na kutajataja majina tu ya watu kwa mistari isiyo na vina,
hiyo ni useless na completely nonsense kabisa gentleman![]()
useless, nonsense, null and void agenda ya lisu ya no reform no elections imepuuzwa na wanachadema kwa uzito na ukubwa unaostahili,No reform, no election. Fisi woye mtakakimbia nchi mwaka huu.

Hakuna ukweli hapo zaidi ya Nchiiiimbwi kujitafutia manufaa yake. Labda kama hujui ama unajua huyo jamaa ana calculations ndefu. Lakini wewe Mayalla maana yake ni njaa. Magufuli alimaliza kila kitu š¤£Wanabodi
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe.
View attachment 3297015
Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana TEF kwa kauli moja, wamemchagua tena Deodatus Balile, kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri kwa kipindi kingine cha miaka 4 kwa Balile kupita bila kupingwa. Sambamba na Balile, Bakari Machumu pia amepita bila kupingwa kuendelea na nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa TEF.
Sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, pia wana TEF wamewachagua wahariri 7 kuunda kamati mpya ya utendaji, hivyo kwanza natoa pongezi kwa uongozi mpya wa TEF.
Pili natoa pongezi kwa Mgeni rasmi kwenye siku ya kwanza ya mkutano huo maalum ni Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM, na mgombea mwenza wa urais wa JMT, kwenye uchaguzi mkuu wa October, 2025 kwa kuitikia wito wangu nilioutoa kwenye safu hii, siku chache zilizopita kuwa Chadema na Wapinzani wanahitaji kusaidiwa, Pre GE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika! Dr. Nchimbi ameanza kuwasaidia kwa kuwaambia ukweli, kuwa hawawezi kusimamisha uchaguzi Mkuu.
Kuwaambia ukweli watu wanaodanganywa ni kuwasaidia, hivyo Balozi Nchimbi amewasaidia Chadema kwa kuwaelimisha kuhusu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu, katika utekelezaji wa kauli mbiu ya mkutano huu ni āUchaguzi Huru na wa Hakiā na kuwa kushiriki uchaguzi ni hiari, kuanzia kujiandikisha kupiga kura, kupiga kura, na kugombea ni hiyari.
Hivyo kama kuna chama kimeamua hakitashiriki uchaguzi huu ni rukhsa kutoshiriki, na akawasisitiza watu, tusiwalazimishe kushiriki wasiotaka kushiriki, na tusiwalazimishe kugombea, wasiotaka kugombea.
Ila Dr. Mchimbi amesema ni kosa kisheria, mtu yoyote au taasisi yoyote, ama kujaribu kuzuia uchaguzi, ama kuzuia watu wengine wasishiriki uchaguzi, na amewahakikishia Watanzania wote, kuendelea kutembea kifua mbele kwenye maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, uchaguzi mkuu upo, kwasababu uchaguzi mkuu ni jambo la kikatiba, haktionuna mtu yoyote, au taasisi yoyote inayoweza kusimamisha uchaguzi mkuu, kauli mbiu ya Chadema ya No Reforms, No Election ni kauli ya hadaa tuu kutaka kujifurahisha, Wananchi wameshauriwa kupuuza kauli hizo na hadaa tupu!.
Dr Nchimbi amemshauri Tundu Lissu, Chadema na wafuasi wao, kuwa sio lazima kushiriki uchaguzi wa mwaka huu, kuna uchaguzi mwaka 2030, 2035, 2040, 2045, 2050 na kuendelea, na akawaomba, kama chama chao kimeamua hakitashiriki uchaguzi, basi kisiwazuie wale wanaotaka kushiriki, na kama wameamua hawagombei, basi yeye, wanachama wake na wafuasi wake wajitokeze kuwapigia kura waliokubali kugombea ili kuitumia haki yao ya kikatiba ya kidemokrasia kuchagua viongozi wao.
Aidha amewaomba wahariri:"Tutumie nguvu yetu ya kalamu kuhamasisha na kukemea wanasiasa wa pande zozote awe chama tawala au upinzani.āAmetamka kauli za kuleta uvunjifu wa amani wasizipe kipaumbele, āmtu akiongea kitu cha ovyo tuviache."
Dk Nchimbi amesema mkifanya uchaguzi huru na wa haki mnakuwa mfano mzuri kwa nchi yetu:"Na mnatufundisha na sisi kuzingatia matakwa ya Katiba zetu na taasisi zisizofanya uchaguzi zinafubaa, zinadumaa na zinakufa."
"Zipo taasisi zingine hazifanyi uchaguzi na nusu ya taasisi tulizonazo nchini hazifanyi uchaguzi na kwa ninyi wahariri kufanya uchaguzi mnakuwa na ujasiri wa kulisemea hilo kwa nguvu zote," amesema Dk Nchimbi ambaye amewahi kuwa naibu waziri na waziri wa habari.
Amesema anauelewa wa tasnia hiyo na ugumu wanaoupitia na kwa kazi wanayoifanya wamechangia kuzielezea kwa kina 4R za Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi wamezielewa.
"Mtu anaweza asielewe kirahisi lakini kazi mnayoifanya ni kubwa sana. Kama mngekuwa hamfanyi vizuri tungekuwa na makesi mengi mahakamani, lakini ni mara chache sana mmekuwa mnateleza ila kwa niaba ya hama cha Mapinduzi na Watanzania wapenda amani tunawapongeza sana," amesema Dk Nchimbi.
Amesema vyombo vya habari ni muhimili wa nne na ni kioo wa Bunge, Serikali na Mahakama na kupitia kwao vinajiona wapi wamekosea na wapi warekehishe.
Kuhusu hali ya uchumi wa vyombo vya habari, Dk Nchimbi amesema watahakikisha Ilani ya uchuguzi ya CCM ya mwaka 2025/2030 suala hilo linakuwamo na linapewa kipaumbele kikubwa.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwijuma maarufu Mwana FA amesema Serikali inatambua changamoto inayozikumba vyombo vya habari, ikiwemo uchumi wa vyombo vya habari.
"Serikali inafanyia kazi, ikiwemo Rais Samia kubadilisha mitizamo ya tasnia ya habari na waandishi wafanye kazi yao kwa uhuru."
Naibu Waziri huyo ambaye pia ni mbunge wa Muheza (CCM), amesema huu ni mwaka wa uchaguzi wa madiwani, ubunge na urais, hivyo amewaomba wahariri kuhakikisha wanasisitiza amani, ushiriki wa wananchi kwenye uchaguzi:"Tuwahamasishe wananchi washiriki uchaguzi na si kususia uchaguzi."
Aidha, naibu waziri huyo amewatakia kila la heri wagombea wote wa TEF na hata wale watakaoshindwa.
Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema uendelevu wa kiuchumi, uhuru wa habari na upatikanaji wa matangazo na Serikali inatambua hilo, imekuwa inafanya mikakati mbalimbali.
Balile amesema ukweli ni kwamba uchumi wa vyombo vya habari ni mgumu na hiyo inaweza kuwa hatari kwa wananchi na jamii.
"TEF inaendelea kuwa mstari wa mbele kuhakikisha uweledi kwa habari na waandishi wa habari na matumizi ya njia za kidijitali yanazingatiwa," amesema Balile.
Amepongeza Serikali kwa kuanzisha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari na kati ya wajumbe sita wanayoiunda, watatu ni wajumbe wa TEF na hiyo ni dalili nzuri kwa tasnia hiyo.
Bodi hiyo inaongozwa na Mwenyekiti wake, Tido Mhando ambaye ni mwandishi nguli ndani na nje ya Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Hivi uliishia wapi kuwashauri ACT? Nakumbuka ulikuwa unampamba Zito vibaya kuwa anafanya siasa za masuala, kana kwamba nchi hii siasa za masuala ndio zinazoamua mshindi. Sasa ACT wamepoteana huku bara, na ww umebaki kwenye vita na chama ulicho na nongwa nacho cdm. Sasa hivi haipoti saa 48 bila kuanzisha uzi dhidi ya cdm.Wanabodi

Pascal ana gubu sana anaona yeye peke yake ndiye anajua kila kitu mtu ambaye haamini kama yeye kwake ni mjinga asiyejua kituPaschal ni kweli CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi,
Lakini wananchi waliounda katiba na kuipa mamlaka kuunda serikali,bunge na Mahakama wanao UWEZO kuzuia uchaguzi batili usifanyike.
Na Lissu ndio anazunguka nchi nzima kuwaomba wamuunge mkono.
Njaa mbaya sana. Keshapoteza heshima yake aliyokuwaga nayo humu jukwaani.No reform no election
Kaka hata Kama mnafanya uchaguzi nyinyi fanyeni tuu
Mzee wangu pascal yaaan usitufanye Sisi vijana tukudharau
Hivi wewe ni Mwandishi huru au ni Mwenezi wa CCM?Wanabodi