Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

Hawachelewi kuanza kupiga propaganda za kusema chaguo la sisiemu ni chaguo la mungu hawa!
 
Hivi huoni aibu?

Ingekuwa wewe ndio Lissu ungekubali kushiriki huu upuuzi unaoitwa uchaguzi chini ya tume iliyojaa makada wa CCM na wateule wake?
 
Tatizo la watu kutosoma nyakati hivi kuna mtu atawaheshimu viongozi ambao wamechaguliwa katika mazingira ya vyama kugoma kushiriki hasa Chadema!
Uchaguzi wa 2020 si Chadema waligoma, wakauita ni uchafuzi, wakagomea kutambua matokeo!, wakagoma kumtambua mbunge wao mmoja, wakagoma kupeleka majina ya viti maalum, angalia niliwashauri nini CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao, angalia kilichokuja kutokea J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
Tatizo si sheria pekee ni uhalali.
Mshindi wa uchaguzi wetu ni by
a simple majority, hata kama tuko millioni 60, wakajitokeza wagombea wawili wa urais na wapiga kura 3, mmoja akapata kura 1, mwingine kura mbili, yule mwenye kura mbili ni mshindi halali!.
Kama unaongoza wananchi ambao wengi wanaona umeiba uchaguzi kama kweli wewe ni mzalendo jiulize unamuongoza nani hasa?
Hili nililizungumza Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
kama kweli nia ni kuongoza wananchi sasa kwanini unnalazimisha chaguzi ambazo sio za kidemokrasia?
Hili neno
Kama unataka uongozi bila kujali demokrasia sasa kwanini michakato yote hii ni ya nini kupoteza pesa zote za wananchi kwa sababu gani hasa!
Hili nililishauri Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? nilisema
Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa 2020, utakuwa sio uchaguzi bali utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, sasa badala ya kufanya igizo la uchaguzi , si ni bora tumwache tu Magufuli aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?, na badala yake hizo fedha za uchaguzi zikaelekezwa kwenye maendeleo ?

10. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM kutoa rais wa JMT tangu nchi hii imepata uhuru, ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?

11. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM, kwa Tume hii hii, na mazingira haya haya ukategemea kuna ushindani?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli, bado kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea urais au kugombea ili kujifurahisha tuu?, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili huku mmoja ameshika mpini, wengine kwenye makali kuwili, unategemea nini?, au hata ikitokea Mungu akafanya muujiza, huyo mgombea wa upinzani akashinda kwa muujiza wa Mungu, jee atatangazwa?.

Kwa maoni yangu, 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, na kwenye ubunge na udiwani , kwa udikiteta huu, sijui kama kuna mpinzani atatoka!, uchaguzi wa 2020 itakuwa ni uchaguzi wa CCM only and only CCM!. Uchaguzi mwingine wa rais na uchaguzi wa vyama vingi ni uchaguzi wa 2025 only if ...(Mungu hatafanya yake hapa katikati)

Hayo ni maswali tu nimeanza kujiuliza aloud.

Je, wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?

Paskali

P
 
Uchaguzi wa 2020 si Chadema waligoma, wakauita ni uchafuzi, wakagomea kutambua matokeo!, wakagoma kumtambua mbunge wao mmoja, wakagoma kupeleka majina ya viti maalum, angalia niliwashauri nini CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao, angalia kilichokuja kutokea J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake

Mshindi wa uchaguzi wetu ni by
a simple majority, hata kama tuko millioni 60, wakajitokeza wagombea wawili wa urais na wapiga kura 3, mmoja akapata kura 1, mwingine kura mbili, yule mwenye kura mbili ni mshindi halali!.

Hili nililizungumza Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

Hili neno

Hili nililishauri Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? nilisema

P

Yaani chama gani chenye watu wa makini watakubali kwamba matokeo ya uchaguzi wa 2020 yalikuwa ya uchaguzi huru! Wakati mwingine P, hapa ndiyo unaonyesha umezaliwa kizazi cha wanafiki maana unajua ukweli! Acha huku kujipendekeza hakuna tija bro be you
 
Mkuu Kamu,@kamundu,watu tunatofautiana sana uwezo wa uoni,visions,wengine uwezo wao ni mwisho wa pua zao,na wengine wanauwezo wa kuona mbali。

Wengi wetu uchaguzi wa 2020 wameuona kwa matokeo ya uchaguzi ule ndio wakaanza kupiga mayowe,angalia tarehe ya mabandiko haya nilisema nini na lini!
  1. Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
    Wanabodi,

    Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli ninaouona mimi muona mbali ni kuwa kwa nature ya siasa zetu na uwepo wa hii dhana ya udikiteta, kama hautakuwa countered through proper channels kupitia instruments zilizopo, then, mwaka 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais wala uchaguzi wa vyama vingi!, bali litafanyika igizo tuu la uchaguzi, ambao utakuwa ni uchaguzi wa chama kimoja tuu CCM!. Uchaguzi mwingine wa vyama vingi wa rais na wabunge ni 2025 tena only if kama hatautumia udikiteta wake kubadili katiba kwa mlango wa nyuma, by proxy ili aendelee kama Mkuruzinza, Kagame, Museveni na Mugabe!. (Madikiteta hubadili katiba zao by proxty kwa kutumia watu wengine ndio waseme, wao watasema hawabadili, lakini wananchi wakisema na kuandamana, then they they grant the wishes of the people).

    Kuna huu msemo wa wahenga usemao, "if you can't beat them, join them!". Nawashauri makundi hayo yote walioshindwa, kwanza kukubali kushindwa, kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani, hivyo natoa mwito kwa washindwa wote, ku surrender kwa kuweka silaha zao chini na to join him, sio kwa kupenda, but they have to join him because, there is no any other way out, or any options but they have either to join him and survive, or to fall out and perish!.

    Hivyo hiyo ndio salama yao wakati wa kusikilizia kama atakuwa dikiteta kweli, the real dictator, or a benevolent one!. Ikitokea Magufuli kiwa the real one, yaani ni dikiteta kweli usipomjoin, umekwisha!, hivyo ikitokea Magufuli akawa dikiteta kweli, then Tanzania tunaelekea kwenye utawala wa totalitarian na authoritarian nakurudi kuwa nchi ya chama kimoja!. Ikitokea Magufuli akawa dikiteta kweli, faraja pekee kwa Watanzania itabaki kwa yule aliyemleta, ndiye atakaye mtwaa ili kulisuru taifa la Mungu.

    Hata akiwa a benevolent one, bado upinzani hautafurukuta hata kule kwenye ubunge na udiwani, wapinzani wataokarudi bungeni 2020 ni by personal merits only, as of now, namuona mpinzani mmoja tuu mwenye posibility ya kurejea bungeni 2020, huyu ni ZZK pekee, wapinzani wengine wote kurejea bungeni 2020 ni majaaliwa!.

    Wito huu wa kumjoin rais Magufuli, unatolewa regardless ameshindaje na umeshindwaje!, iwe ni kwa ushindi halali, ushindi haramu, bao la mkono, etc, etc, kwenye uchaguzi, the end will always justify the means!, mshindi ni Magufuli, sasa tumpatie tuu kila aina ya ushirikiano wa kutosha kwa kum join him ili aweze kulitawala vizuri taifa letu hili.
  2. The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja nilisema
  3. Wanabodi,

    Katika toleo hili, limekuja na kubwa ya mwaka, sio tuu kumsingizia Rais Magufuli kuwa ametamka kufuta vyama vingi, na kuirejesha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja ifikapo mwaka 2020, bali pia wamemnukuu na kumlisha maneno kwa quotation kuuaminisha ulimwengu kuwa maneno hayo ni kweli rais Magufuli ameyatamka wamedai na hapa ninanukuu,
    Mr Magufuli, says, is “determined that by 2020 there will be no political opposition in Tanzania. Essentially he wants to return it to one-party rule as it was before 1992", mwisho wa kunukuu.

    Japo mimi sio mfutiliaji wa karibu wa kila hotuba za rais Magufuli, lakini ni msomaji mzuri wa kila kinachoandikwa kuhusu nchi yetu na kumhusu rais wetu, hivyo sikumbuki kuwahi kumsikia rais Magufuli akisema maneno haya ya The Economist, aliyatamka lini na wapi!.

    Kama kuna mtu yoyote kati yetu aliwahi kumsikia Rais Magufuli akisema atafuta upinzani na vyama vingi Tanzania mwisho ni 2020, naomba anisaidie, maana hakuna mtu anaweza kuwa amesikia kila kitu kinachosemwa na rais wetu, labda kama kazi yake ni kumsikiliza tuu rais kutwa kucha!.

    Kama huu ni uongo mwingine wa Jarida hili la The Economist, kama kawaida yao na mauongo yao kuihusu nchi yetu Tanzania na Rais wetu Magufuli, lazima tufike mahali sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali uongo huu kuhusu nchi yetu, uongo kuhusu rais wetu na sometimes hadi anatukanwa, huku sisi tunakaa kimya, nchi yetu inatukanwa, tunakaa kimya, uzalendo wetu kwa taifa letu ni uzalendo gani?!. Uongo kama huu unapoachwa bila kukanushwa na ukweli ukasemwa, utakuja kugeuka ukweli na tukaanza kumtafuta mchawi!.

    Hebu kwanza jisomee mwenyewe mauongo ya The Economist, nimekuwekea kila walicho andika, nikikuwekea kipi ni ukweli na kipi ni uwongo, tena nimeweka in number format.

    Uongo kama huu unapoachwa, na kuendelea kurudiwa rudiwa, sio tuu utapelekea dunia kuuona kama ni ukweli, bali utakuja kugeuka ndio ukweli wenyewe!, na wakati huo ukifika uongo huu ukageuka ukweli, ndio kuna watu watajifanya kushangaa!. Muda huo ukifika, nitakacho kifanya mimi ni kuwakumbusha tuu!.

    Mungu Ibariki Tanzania.

    Paskali
  4. Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja? nilisema
  5. Wanabodi.

    Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.

    Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".

    Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!. Paskali
  6. CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike nilisema
  7. Wanabodi,
    Siku zote Chadema wanaendesha siasa kwa dhana potofu, wanadhani adui yao mkuu anaowafanya kushindwa kwenda Ikulu ni CCM, kiukweli adui mkuu wa Chadema sio CCM, nitawatajia adui mkuu wa Chadema, na mwisho nitawapa ushauri Chadema wafanye nini, waweze kuingia Ikulu 2025 wakati Magufuli atakapomaliza muda wake, tena only if, kama rais Magufuli atamaliza kweli hiyo 2025!, kwa sababu kwa uchaguzi wa 2020, kwa saa hizi tayari ni too little too late, rais Magufuli amefanya makubwa, anakubalika sana na Watanzania, na pia he is just too powerful to be defeated , kiasi kwamba kwa uchaguzi wa 2020 kwa upande wa urais, ni kama hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, uchaguzi wa rais wa 2020 kwa mawazo yangu nauhesabu utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, unless Tundu Lissu arejee kugombea urais, na hata akirejea na kugombea, ataongeza tuu hamasa ya uchaguzi na ataleta tuu changamoto kwa Magufuli, lakini Lissu hawezi kushinda urais wa Tanzania, kwasababu has nothing to show. Mshindi wa urais 2020, tayari ameishajulikana ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli wa CCM, hivyo wote watakaompinga rais Magufuli 2020, itakuwa ni kujifurahisha tuu, hivyo Chadema watake wasitake, ni lazima wabadilike, vinginevyo, 2020 its the end of the road kwa Chadema, tunarudi kwenye nchi ya chama kimoja!.

    A Way Forward, Chadema Ifanye Nini.

    1. Kwanza Chadema ijitathmini, is it on the right track?, itambue makosa yake, ikubali makosa, ijirekebishe, isonge mbele. CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
    2. Ianzishe grassroots recruitment ya wanachama wake waaminifu, isije kujikuta imewakumbatia ma pandikizi wa CCM kuanzia nje hadi ndani ya CC yake, kama ilivyotokea kwa Mwenyekiti wa Bavicha.
    3. Ianzishe head-hunting na spotting leadership talents na able people toka kwenye jamii kujiunga Chadema na kujenga kada ya viongozi wake wa kesho, born and breed in Chadema, kwa kuwafanyia grooming, ili kupata wagombea wake wa nafasi mbalimbali za uongozi.
    4. Ipunguze kushobokea makapi kutoka CCM, wana CCM wanaojitoa CCM na kujiunga Chadema, wawe wanachama wa kawaida tuu kama wanachadema wengine na sio kupapatikiwa na kupewa uongozi moja kwa moja.
    5. Chadema I invest on people na mass mobilization strategies, na sio ku invest on vitu na mikutano tuu ya hadhara, kupitia social media na kumiliki media yake yenyewe, kutawafikia watu wengi zaidi kuliko kutegemea mikutano ya hadhara na maandamano pekee.
    6. Chadema irudishe ukomo wa uongozi, hata kiongozi awe mzuri vipi, anafikia kiwango cha ukomo wake na kuwa kama saturated solution, he/she can do no more than what he/she can!, anakuwa hana jipya!, pia Chadema waandae succession plan, by now, wawe na a pool of able people from within kushika nafasi zote za uongozi, na kuendesha serikali, kungekuwa na ukomo, by now watu wangejua Mbowe amefikia ukomo wa uwezo wake, hivyo nani watampokea.
    7. CCM ni chama dola, hivyo Chadema isitumie model ya CCM kuitafuta ikulu, iandae model yake yenyewe ya kupata viongozi wake na wagombea wake, mtindo wa the democrats ya US ni mzuri kuanzia kwenye primaries.
    8. Kuondokana na viongozi ving'ang'anizi na miungu watu, maadam target ya chama kikuu cha upinzani ni kuingia ikulu, kiongozi wa chama hicho, umeshindwa kuiingiza Chadema ikulu, unajiuzulu, unapisha wengine wanaendeleze, sio umeshindwa halafu bado unang'ang'ania!.
    9. Kuwafanyia tathmini wabunge wake kwa status ya kukubalika kwao, na kuwe hakuna haki miliki ya majimbo, mfano 2020, Mhe. Halima Mdee ndiye mbunge wa jimbo la Kawe, kuelekea 2020, Mdee anatathminiwa amefanya nini Kawe for the past 10 years, na jee bado anakubalika?, (Acceptability test) Wanachadema wote wenye uwezo, wawe huru kumchallenge Mdee, akitokea mwanachama mwingine mwenye sifa na uwezo na kukubalika zaidi ya Mdee kwa jimbo la Kawe, then 2020, Mdee anawekwa pembeni anapumzishwa, kijiti kinapokewa na more able, vinginevyo 2020, kuna majimbo mengi kibao Chadema mtayarudisha CCM!.
    10. Chadema kionyeshe ukomavu na kuwa ni chama mbadala kwa kuachana na cheap politics ya siasa za matukio, na badala yake kujikita kwenye real politics za kushindanisha sera, sio kwa kupinga kila kitu, CCM ikifanya mazuri, mfano elimu bure, Chadema ikubali hili ni zuri, lakini ionyeshe ingekuwa Chadema ingefanya bora zaidi kwa elimu bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu, kwa kuonyesha how CCM inatapanya fedha na resources za nchi kwa ufisadi na kwa mambo yasiyo na maana, halafu inanyanyasa Watanzania masikini kwa kuwanyima mikopo ya elimu ya juu. Chadema wajifunze kuibomoa CCM kwa hoja na sio siasa za matukio, mfano mwaka 2020, Magufuli anaingia ulingoni akiwa na good track record ya performance, aliahidi na ametekeleza na maendeleo yanaonekana kwa macho, elimu bure, ndege za ATCL zinapaa dunia nzima, flyovers, reli ya SGR, na Tanzania ya viwanda. Chadema lazima waje na sera mbadala kuonyesha jinsi ATCL, flyovers na SGR zilivyowatia umasikini Tanzania, kama fedha hizo zingewekezwa kwenye sekta ya kilimo nini kingepatikana, bila kuinua sekta ya kilimo, hiyo Tanzania ya viwanda inayohubiriwa na rais Magufuli, ni Tanzania ya viwanda gani vinavyotumia malighafi gani?. Ijikite kwenye hoja kama hizi Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas ...
    11. Chadema ipiganie a level playing field kwenye the political playground, kupitia tume huru na shirikishi ya uchaguzi na katiba mpya, haiwezekani watu wawili wanagombea urais, mgombea mmoja anakuja na vingora, na full government media team, paid by public money for the advantage ya CCM, halafu, mwingine with nothing, halafu utegemee kushinda!.
    12. Chadema ipiganie true free and fair elections with maximum transparency, kama hakuna maneuvers zozote zinazofanywa na Tume ya Uchaguzi, kwa nini wazuie independent party tallying?, wanaogopa nini?, kama matokeo yote hadi ya urais yanabandikwa vituoni mbele ya mawakala wa vyama, kuna kosa gani kama mawakala wote watakuwa na smart phones, ku scan matokeo na kutuma makao makuu kwenye tallying centers za vyama, kama haki itatendeka, then matokeo ya independent tallying za vyama yatafanana na matokeo ya tallying ya NEC, what is it there to hide kuzuia independent tallying?.
    13. Chadema kutimiza majukumu yake kikamilifu kama Chama cha upinzani kazi yake sio tuu kuikosoa serikali, bali ku I check serikali kuhakikisha inafuata katiba na kutekeleza sheria, taratibu na kanuni, mfano, katika kuzuia mikutano ya kisiasa, rais Magufuli amevunja katiba wazi wazi kabisa mchana kweupe!, chama chochote makini, by now, kingeifungua shauri mahakamani, ili mahakama itoe tafsiri rasmi, kama itathibitisha rais amevunja katiba, rais anapewa amri za kimahakama za prohibition, certiorary etc na akikataa anashitakiwa na bunge Kwa uvunjifu wa katiba na kuondolewa madarakani!. Mfano hata suala dogo tuu kama Daudi Bashite, nilishauri Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais ...
    14. Chadema waipinge CCM kwa kujikita kwenye hoja zenye maslahi kwa taifa, ujinga, umasikini, maradhi, rushwa na ufisadi, kwa kuonyeshea CCM katika kipindi chote cha miaka 50, ndie muasisi wa rushwa na ufisadi wote unaolikumba taifa letu, CCM imeshindwa, na katika rushwa na ufisadi, Chadema iwaeleze wananchi, CCM ndio shina na mlezi wa rushwa zote na mafisadi karibu wote ni CCM!, ili wananchi waelewe kuwa CCM inapigana vita ilivyovilea na kuvijenga.
    Ni hayo kwa uchache, nikikumbuka mengine nitayaongeza.

    Paskali
P
 
Wanabodi

Kuwaambia ukweli watu wanaodanganywa ni kuwasaidia, hivyo Balozi Nchimbi amewasaidia Chadema kwa kuwaelimisha kuhusu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu, katika utekelezaji wa kauli mbiu ya mkutano huu ni “Uchaguzi Huru na wa Haki” na kuwa kushiriki uchaguzi ni hiari, kuanzia kujiandikisha kupiga kura, kupiga kura, na kugombea ni hiyari.

Hivyo kama kuna chama kimeamua hakitashiriki uchaguzi huu ni rukhsa kutoshiriki, na akawasisitiza watu, tusiwalazimishe kushiriki wasiotaka kushiriki, na tusiwalazimishe kugombea, wasiotaka kugombea.

Ila Dr. Mchimbi amesema ni kosa kisheria, mtu yoyote au taasisi yoyote, ama kujaribu kuzuia uchaguzi, ama kuzuia watu wengine wasishiriki uchaguzi, na amewahakikishia Watanzania wote, kuendelea kutembea kifua mbele kwenye maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, uchaguzi mkuu upo, kwasababu uchaguzi mkuu ni jambo la kikatiba, hakuna mtu yoyote, au taasisi yoyote inayoweza kusimamisha uchaguzi mkuu,
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Ni katika kukumbushana tuu, kushiriki uchaguzi ni hiyari, kupiga kura ni hiyari, kutopiga kura ni hiyari na kutopiga kura sio kosa, watu wasilazimishwe.

P
 
Wanabodi
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe.
View attachment 3297015
Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana TEF kwa kauli moja, wamemchagua tena Deodatus Balile, kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri kwa kipindi kingine cha miaka 4 kwa Balile kupita bila kupingwa. Sambamba na Balile, Bakari Machumu pia amepita bila kupingwa kuendelea na nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa TEF.

Sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, pia wana TEF wamewachagua wahariri 7 kuunda kamati mpya ya utendaji, hivyo kwanza natoa pongezi kwa uongozi mpya wa TEF.

Pili natoa pongezi kwa Mgeni rasmi kwenye siku ya kwanza ya mkutano huo maalum ni Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM, na mgombea mwenza wa urais wa JMT, kwenye uchaguzi mkuu wa October, 2025 kwa kuitikia wito wangu nilioutoa kwenye safu hii, siku chache zilizopita kuwa Chadema na Wapinzani wanahitaji kusaidiwa, Pre GE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika! Dr. Nchimbi ameanza kuwasaidia kwa kuwaambia ukweli, kuwa hawawezi kusimamisha uchaguzi Mkuu.

Kuwaambia ukweli watu wanaodanganywa ni kuwasaidia, hivyo Balozi Nchimbi amewasaidia Chadema kwa kuwaelimisha kuhusu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu, katika utekelezaji wa kauli mbiu ya mkutano huu ni “Uchaguzi Huru na wa Haki” na kuwa kushiriki uchaguzi ni hiari, kuanzia kujiandikisha kupiga kura, kupiga kura, na kugombea ni hiyari.

Hivyo kama kuna chama kimeamua hakitashiriki uchaguzi huu ni rukhsa kutoshiriki, na akawasisitiza watu, tusiwalazimishe kushiriki wasiotaka kushiriki, na tusiwalazimishe kugombea, wasiotaka kugombea.

Ila Dr. Mchimbi amesema ni kosa kisheria, mtu yoyote au taasisi yoyote, ama kujaribu kuzuia uchaguzi, ama kuzuia watu wengine wasishiriki uchaguzi, na amewahakikishia Watanzania wote, kuendelea kutembea kifua mbele kwenye maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, uchaguzi mkuu upo, kwasababu uchaguzi mkuu ni jambo la kikatiba, haktionuna mtu yoyote, au taasisi yoyote inayoweza kusimamisha uchaguzi mkuu, kauli mbiu ya Chadema ya No Reforms, No Election ni kauli ya hadaa tuu kutaka kujifurahisha, Wananchi wameshauriwa kupuuza kauli hizo na hadaa tupu!.

Dr Nchimbi amemshauri Tundu Lissu, Chadema na wafuasi wao, kuwa sio lazima kushiriki uchaguzi wa mwaka huu, kuna uchaguzi mwaka 2030, 2035, 2040, 2045, 2050 na kuendelea, na akawaomba, kama chama chao kimeamua hakitashiriki uchaguzi, basi kisiwazuie wale wanaotaka kushiriki, na kama wameamua hawagombei, basi yeye, wanachama wake na wafuasi wake wajitokeze kuwapigia kura waliokubali kugombea ili kuitumia haki yao ya kikatiba ya kidemokrasia kuchagua viongozi wao.

Aidha amewaomba wahariri:"Tutumie nguvu yetu ya kalamu kuhamasisha na kukemea wanasiasa wa pande zozote awe chama tawala au upinzani.”Ametamka kauli za kuleta uvunjifu wa amani wasizipe kipaumbele, “mtu akiongea kitu cha ovyo tuviache."

Dk Nchimbi amesema mkifanya uchaguzi huru na wa haki mnakuwa mfano mzuri kwa nchi yetu:"Na mnatufundisha na sisi kuzingatia matakwa ya Katiba zetu na taasisi zisizofanya uchaguzi zinafubaa, zinadumaa na zinakufa."

"Zipo taasisi zingine hazifanyi uchaguzi na nusu ya taasisi tulizonazo nchini hazifanyi uchaguzi na kwa ninyi wahariri kufanya uchaguzi mnakuwa na ujasiri wa kulisemea hilo kwa nguvu zote," amesema Dk Nchimbi ambaye amewahi kuwa naibu waziri na waziri wa habari.

Amesema anauelewa wa tasnia hiyo na ugumu wanaoupitia na kwa kazi wanayoifanya wamechangia kuzielezea kwa kina 4R za Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi wamezielewa.

"Mtu anaweza asielewe kirahisi lakini kazi mnayoifanya ni kubwa sana. Kama mngekuwa hamfanyi vizuri tungekuwa na makesi mengi mahakamani, lakini ni mara chache sana mmekuwa mnateleza ila kwa niaba ya hama cha Mapinduzi na Watanzania wapenda amani tunawapongeza sana," amesema Dk Nchimbi.

Amesema vyombo vya habari ni muhimili wa nne na ni kioo wa Bunge, Serikali na Mahakama na kupitia kwao vinajiona wapi wamekosea na wapi warekehishe.

Kuhusu hali ya uchumi wa vyombo vya habari, Dk Nchimbi amesema watahakikisha Ilani ya uchuguzi ya CCM ya mwaka 2025/2030 suala hilo linakuwamo na linapewa kipaumbele kikubwa.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwijuma maarufu Mwana FA amesema Serikali inatambua changamoto inayozikumba vyombo vya habari, ikiwemo uchumi wa vyombo vya habari.
"Serikali inafanyia kazi, ikiwemo Rais Samia kubadilisha mitizamo ya tasnia ya habari na waandishi wafanye kazi yao kwa uhuru."

Naibu Waziri huyo ambaye pia ni mbunge wa Muheza (CCM), amesema huu ni mwaka wa uchaguzi wa madiwani, ubunge na urais, hivyo amewaomba wahariri kuhakikisha wanasisitiza amani, ushiriki wa wananchi kwenye uchaguzi:"Tuwahamasishe wananchi washiriki uchaguzi na si kususia uchaguzi."

Aidha, naibu waziri huyo amewatakia kila la heri wagombea wote wa TEF na hata wale watakaoshindwa.

Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema uendelevu wa kiuchumi, uhuru wa habari na upatikanaji wa matangazo na Serikali inatambua hilo, imekuwa inafanya mikakati mbalimbali.

Balile amesema ukweli ni kwamba uchumi wa vyombo vya habari ni mgumu na hiyo inaweza kuwa hatari kwa wananchi na jamii.

"TEF inaendelea kuwa mstari wa mbele kuhakikisha uweledi kwa habari na waandishi wa habari na matumizi ya njia za kidijitali yanazingatiwa," amesema Balile.

Amepongeza Serikali kwa kuanzisha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari na kati ya wajumbe sita wanayoiunda, watatu ni wajumbe wa TEF na hiyo ni dalili nzuri kwa tasnia hiyo.

Bodi hiyo inaongozwa na Mwenyekiti wake, Tido Mhando ambaye ni mwandishi nguli ndani na nje ya Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Yeye anauelewa wa No Reforms no Elections wanayoizungumia Chadema?
 
Huyu chawa akasalimiwe wazee; imagine posho ya siku 2 ilimfanya ateme rubbish yote hii🚮🚮🚮🚮
 
Naona ulijisahau sana wakati tunawaambia sio Chadema ni watanzania mlikuwa hamtuelewi na kufikiri kila kitu ni Chadema sasa naona mnaona ukweli. Wakati mwingine sikilizeni hamtakuja kujilaumu. Wangemsikiliza Lissu na kuongeza muda wa Samia angekuwa Raisi leo sasa anakimbia kimbia na kujificha na hawezi tena kuongoza hili taifa
 
View: https://youtu.be/19L2quNw-HE?si=GdG_QmcH6Dlo20rV
Huyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View attachment 3600212
Ukimjua huyo mtu huyu jamaa aliyemuita Yuda, kiukweli huyu dogo Mhe. Simai, amechemka big time!.
Huyo aliyemuita Yuda, yeye hana matatizo, tatizo ni walio nyuma ya huyo Yuda!, Simai anajiingiza kwenye a very dangerous zone bila mwenyewe kujijua!, kusipotokea wenye busara, kumshauri, acheze mbali na anga za huyo Yuda!, take it from me, sasa hivi Mhe. Simai atageuka kuwa ni historia in no time!.
Haiwezekani mtu ninayemuona hivi
Haiwezekani mtu wa namna hii akatwa Yuda, tunaomjua kuwa sio Yuda tukanyamaza.
Huyu dogo kachemka big time!.

Kwa sasa hakuna mtu anaweza kumgusa mbunge wa zanzibar,

Hata akisema bunge lifungue bar au ukumbi wa disco, wanacheka tu
 
Wanabodi
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe.
View attachment 3297015
Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana TEF kwa kauli moja, wamemchagua tena Deodatus Balile, kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri kwa kipindi kingine cha miaka 4 kwa Balile kupita bila kupingwa. Sambamba na Balile, Bakari Machumu pia amepita bila kupingwa kuendelea na nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa TEF.

Sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, pia wana TEF wamewachagua wahariri 7 kuunda kamati mpya ya utendaji, hivyo kwanza natoa pongezi kwa uongozi mpya wa TEF.

Pili natoa pongezi kwa Mgeni rasmi kwenye siku ya kwanza ya mkutano huo maalum ni Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM, na mgombea mwenza wa urais wa JMT, kwenye uchaguzi mkuu wa October, 2025 kwa kuitikia wito wangu nilioutoa kwenye safu hii, siku chache zilizopita kuwa Chadema na Wapinzani wanahitaji kusaidiwa, Pre GE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika! Dr. Nchimbi ameanza kuwasaidia kwa kuwaambia ukweli, kuwa hawawezi kusimamisha uchaguzi Mkuu.

Kuwaambia ukweli watu wanaodanganywa ni kuwasaidia, hivyo Balozi Nchimbi amewasaidia Chadema kwa kuwaelimisha kuhusu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu, katika utekelezaji wa kauli mbiu ya mkutano huu ni “Uchaguzi Huru na wa Haki” na kuwa kushiriki uchaguzi ni hiari, kuanzia kujiandikisha kupiga kura, kupiga kura, na kugombea ni hiyari.

Hivyo kama kuna chama kimeamua hakitashiriki uchaguzi huu ni rukhsa kutoshiriki, na akawasisitiza watu, tusiwalazimishe kushiriki wasiotaka kushiriki, na tusiwalazimishe kugombea, wasiotaka kugombea.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Baada ya kuzuka minong'ono fulani kumhusu mtu huyu kuhusiana na kikao cha charura cha NEC kilichoitishwa bila agenda yake kutangazwa hadharani, namtafakari kwa makini mtu huyo, huku nikijiuliza kama kweli hii minong'ono inaweza kuwa kweli?, nikajijibu mwenyewe, minongono hiyo ni uongo na uzushi!, haiwezekani mtu anayemsaidia hivi bosi wake, kukisaidia hivi chama chake, kuisaidia hivi nchi yake, na kuwasaidia hivi Watanzania, halafu kakikundi cha watu, wanaoitwa chama chake, wakakutana na kutumulia Watanzania!.
Hiyo minong'ono hiyo ni uongo na uzushi kutaka tuu kutuletea taharuki, lakini hakuna kitu kama hicho!.

Mzee Pasco
 
Back
Top Bottom