Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

No reform no election

Kaka hata Kama mnafanya uchaguzi nyinyi fanyeni tuu


Mzee wangu pascal yaaan usitufanye Sisi vijana tukudharau
Ati wahariri wanamwalika KM wa CCM kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa Jukwaa la Wahariri! Wahariri wenyewe ndio hawa, nimesikitishwa sana, yaani hawa ni wahariri wa gazeti la Uhuru na Mzalendo, wanawaza kushabikia CCM tu.

Vv
 
Watanzania sio waninga tena.Swala hapa ni mabadiliko ya kisheria na kauni kabla ya uchaguzi mkuu,hitaji la haki na usawa kwenye chaguzi ujao halikwepeki tena,mengine anazungumza kunifariji tu.
 
Hili bandiko mtu kama asipokuwa makini, anaweza kufikiri labda mwandishi ni Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa; ambao ni CHAWA maarufu humu jukwaani. Ila ukija kuangalia vizuri unakuta kumbe mwandishi ni mwingine kabisa.
 
Hili bandiko mtu kama asipokuwa makini, anaweza kufikiri labda mwandishi ni Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa; ambao ni CHAWA maarufu humu jukwaani. Ila ukija kuangalia vizuri unakuta kumbe mwandishi ni mwingine kabisa.
ni kama nyumbu tu walivyo wa hovyo,
badala ya kujikita kwenye hoja mahususi hata kama ni nzito kuliko upeo wa fikra zao, wanajikuta wanaanza kutag na kutajataja majina tu ya watu kwa mistari isiyo na vina,

hiyo ni useless na completely nonsense kabisa gentleman
 
No reform, no election. Fisi wote mtakimbia nchi mwaka huu.
 
Hakuna ukweli hapo zaidi ya Nchiiiimbwi kujitafutia manufaa yake. Labda kama hujui ama unajua huyo jamaa ana calculations ndefu. Lakini wewe Mayalla maana yake ni njaa. Magufuli alimaliza kila kitu 🤣
 
Hivi uliishia wapi kuwashauri ACT? Nakumbuka ulikuwa unampamba Zito vibaya kuwa anafanya siasa za masuala, kana kwamba nchi hii siasa za masuala ndio zinazoamua mshindi. Sasa ACT wamepoteana huku bara, na ww umebaki kwenye vita na chama ulicho na nongwa nacho cdm. Sasa hivi haipoti saa 48 bila kuanzisha uzi dhidi ya cdm.

Ni hivi, umeamua kushindana na muda. Ccm sio chama cha kizazi hiki, mabadiliko yakifika yamefika hata iweje. Kama huamini jisogeze kwenye kioo ujione ulivyokuwa zamani na sasa, jaribu kupaka hizo nywele dark & lovely uone baada ya wiki kama mvi hazijarudia tena, na uone kama kuna mtu atakuita kijana. Inachofanya ccm ni kupaka dark & lovely ili ionekane ni kijana, lakini muda unakataaa.
 
Paschal ni kweli CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi,

Lakini wananchi waliounda katiba na kuipa mamlaka kuunda serikali,bunge na Mahakama wanao UWEZO kuzuia uchaguzi batili usifanyike.

Na Lissu ndio anazunguka nchi nzima kuwaomba wamuunge mkono.
Pascal ana gubu sana anaona yeye peke yake ndiye anajua kila kitu mtu ambaye haamini kama yeye kwake ni mjinga asiyejua kitu
 
Hivi wewe ni Mwandishi huru au ni Mwenezi wa CCM?

Njaa inaweza mfanya hata mwanaume kuwekwa unyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…