Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

"uchaguzi mkuu upo, ... uchaguzi mkuu ni jambo la kikatiba, hakuna mtu yoyote, au taasisi yoyote inayoweza kusimamisha uchaguzi Mkuu"

"... sio lazima kushiriki uchaguzi wa mwaka huu, kuna uchaguzi mwaka 2030, 2035, 2040, 2045, 2050 na kuendelea"
 
Yale! Yale! Mtu kupita bila kupingwa mnaita uchaguzi?
 
Huyo wa kumkumbuka ndio sijamuona kwa sababu huyu mfumo ulimtema tangu alipokua kua mwandishi wa habari na sasa anaelekea kuwa mpambaji bila hata ya kuweka mapambio.
TUMEWACHOKA WAANDISHI WANAFIKI,WAANDISHI VIHIYO, ONENI AIBU.
Pascal ni kibenteni kaolewa na mmarekani

Uo umri bado tu anaendekeza uchawa

Nilimdharau alipomsafisha lowassa
 


Tatizo la watu kutosoma nyakati hivi kuna mtu atawaheshimu viongozi ambao wamechaguliwa katika mazingira ya vyama kugoma kushiriki hasa Chadema! Tatizo si sheria pekee ni uhalali. Kama unaongoza wananchi ambao wengi wanaona umeiba uchaguzi kama kweli wewe ni mzalendo jiulize unamuongoza nani hasa? kama kweli nia ni kuongoza wananchi sasa kwanini unnalazimisha chaguzi ambazo sio za kidemokrasia? Kama unataka uongozi bila kujali demokrasia sasa kwanini michakato yote hii ni ya nini kupoteza pesa zote za wananchi kwa sababu gani hasa!
 
No reform no election mzee paschal. Subiri utaona kinachofanyika. Lissu alisema uchaguzi utaurugika. Na jana kalegeza kauli kua ataitidha maandamano ili kujilinda na kauli ya mwanzo. Ila najua lissu ni genius, atakachofanya tusubiri
 
"uchaguzi mkuu upo, ... uchaguzi mkuu ni jambo la kikatiba, hakuna mtu yoyote, au taasisi yoyote inayoweza kusimamisha uchaguzi Mkuu"

"... sio lazima kushiriki uchaguzi wa mwaka huu, kuna uchaguzi mwaka 2030, 2035, 2040, 2045, 2050 na kuendelea"
Katiba ndio inamiliki uchaguzi? Mwenye katiba ni nani..? Kifungu Na. 8 kwenye katiba hakieleweki? kwa akili yako kulingana na ulichosema ni km katiba iko juu na ina mamlaka zaidi ya aliyetaka iwepo katiba..WANANCHI!
 
Mbona tulimualika Freeman Mbowe kwenye Press Conference na hamkusema kitu?!。Mbona tulimualika Tundu Lissu kwenye press conference na hamkusema kitu?!,lakini kaalikwa mtu wa CCM,maneno!,why?。
P
 
Acha utoto
 
Hivi wewe mtu wa ccm mambo ya Chadema yanakuwasha Nini!?
Pasco bwana! Vyama vipo kibao, kwanini Chadema tuu! 😁
Anawashwa sana na Chadema huyu jamaa. Wkt tunajua anatamani Chadema ife hata kesho.
 

Endelea tu kuwadanganya. Hata kama hawatafanikiwa mwaka huu haina maana kuwa tatizo litakwisha. Wanachokifanya CCM ni kuahirisha tu na kuyaongezea madai nguvu zaidi huko mbeleni.
 
Siku hadi siku unazidi kujishushia heshima uliyoijenga kwa muda mrefu.

Siku hizi makala zako tofauti yake na za kina Lucas Mwashamba ni kuwa wewe ulifika ngazi ya juu shuleni hivyo kuna vitu unaviandika tofauti na yeye.

Ila kiuhalisia umepuuzwa kwa kiasi kikubwa maana mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kushiriki uchaguzi kwa tume hii.

Wewe ni mwanaccm sasa Chadema kama hawataki kushiriki uchaguzi wewe unaumia nini?
 
Huyu naona kilevi anachotumia kimemharibu ubongo kabisa
 
Naona utapeli wa kupita bila kupigwa mmeiga toka CCM kuhalalisha wizi wa kura October, jambo la kukusaidia Paschal sahivi ni Waziri wa nchi utumishi na utawala bora akuteue uwe hata DAS maana unatia aibu sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…