Maombi ❌Nyimbo zenyewe za kishenzi , takataka hizi ,hao mafala wanaimba matusi na lugha chafu ,na mpo kama maombi mnasikiliza na watoto wenu bila aibu , halafu mnalalamika mmomonyoko wa maadili ,
Huyo jamaa na muunga mkono , Watz wapumbavu sana
Lefu❌Hujasema amevaaje au wajihi wake ila tayari ninao .
Amevaa shati mikono mirefu ,suruali kitambaa alafu ni pana kiasi akiwa ameipiga pasi pindo moja lefu toka matakoni mpaka chini .
Ila ana sauti inakwaruza sana maana analala kanisani akipiga makelele .
YeahNyimbo zote ni za kidunia, ziwe gospel, kaswida, hip-hop, bongofleva... Hakuna nyimbo iliyotoka mbinguni...
Mbona sijaandika hivyo kaka ? Au ndiyo wewe unatafuta kwa kutokea mtumishi?Lefu❌
Refu✅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kuonyesha❌Yupo sahihi. Kuna mama mtu mzima hivi aliniambia ndani ya bus kuwa sisi vijana tuna nafasi ya kufanya mabadiliko kwa bus za route ndefu kwenda mikoani kuonyesha video za maigizo zenye maudhui ya mambo ya watu wakubwa wakati ndani ya bus kuna abiria wanasafiri na watoto, wazazi au wakwe wao, na pengine wamekaa siti moja au zinazokaribiana
Moja lefu ❌Hujasema amevaaje au wajihi wake ila tayari ninao .
Amevaa shati mikono mirefu ,suruali kitambaa alafu ni pana kiasi akiwa ameipiga pasi pindo moja lefu toka matakoni mpaka chini .
Ila ana sauti inakwaruza sana maana analala kanisani akipiga makelele .
hahahaahhaa aende akapande mabasi yale ya Njombe, Songea, Mbeya, Iringa....wale jamaa kila basi unalopanda hadi daladala ni gopsel mwanzo mwisho, ukute sasa ndio unaenda kwa mtu wako na hizo gospel sasa, unaweza kughairi. au ukute huyo abiria ni mtu wa hayo maeneo ujue!Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Sasa huyo anashuka kwenye gari kisa nyimbo ambazo hazimpendezi, lakini anashindwa kuaga dunia ambayo ina kila aina ya dhambi. Think big
Sawa nduguMoja lefu ❌
Moja refu ✅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kila mtu ana mtazamo wake kuhusu anachokiamini, na kwa Bongo tumekuwa tukiishi katika jamii mchanganyiko kwa miaka na bila ya uhasama, lakini kwenye wengi pana mengi, kitu kikubwa ni kuheshimiana, kustahamiliana na kupendana. Usafiri wa daladala ni biashara, na biashara huwa haitazami imani ya unayowahudumia bali inatizama faida, hapo dereva ndiyo mwenye uamuzi wa nini cha kufanya katika basi lake na abiria ana uchaguzi wa daladala gani aipande.Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Pamoja na maisha ya utakatifu hapo kazngua kabsaa. Kwa mfano anapotembea mjini akiona dadaz waliovaa half naked atawapiga au atawafanyaje au ata exit kwenye hiyo jamii?Watu wanaoishi maisha ya mungu ni wachache hivyo Lazima aonekane kituko, lakn gari hiyohiyo, itokee ajali au kutekwa utasikia Eeh Mungu tusaidie, lkn huyo Mungu hataki vitu flani acheni, hamsikii hiyo ndiyo Dunia Ilivyo, watu wanaomcha Mungu hawafurahii mziki wa Dunia pia Mungu hapendi, wote waliomzomea hawataki hayo mambo ya mungu huo ndo ukweli ukubali au ukatae Hali iko hivyo
Mwamba yupo sahihi , na hayo maneno yote yanatumika kwenye kiswahili , katika hali tofauti za muundo wa sentensi.Kuonyesha❌
Kuonesha✅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ktk mazingira ya kawaida ilikuwa uunge mkono alichofanya then uelekeze angetumia njia gani, katika kukatazwa mambo yasiyofaa Kuna sehemu unaweza SEMA na sehemu usiyoweza SEMA unachukia na kukaa kimya kwa vile umeshindwa kusema, na Lazima uelewe si Kila sehemu waweza SEMA, hivyo anyamaze na sehemu zinazowez,ekana kusema hapana, amesema anapoweza ni sawa na atanyamaza atakaposhindwa kusema hivyo.Lakin
Pamoja na maisha ya utakatifu hapo kazngua kabsaa. Kwa mfano anapotembea mjini akiona dadaz waliovaa half naked atawapiga au atawafanyaje au ata exit kwenye hiyo jamii?
Hakuna hoja iliyokwepwa..njia ya kukwepa hoja!