holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Katika huduma za umma usafiri na usafirishaji wa abiria utakutana na kila aina ya watu, hivyo ukimkuta mtu ameweka wimbo wa bongo f,dini yake,kabila lake au wewe ambazo hupendi kuzisikia ni kheri ukavumilia hadi mwisho wa safari yako utashuka utasikiliza za kwako, au tembea na headphone,tofauti na hapo kwa nini upande usafiri wa umma wakati hauupendi huo umma? Nunua yako.