Kuna abiria kaleta zogo hapa anasema bila wao kuzima nyimbo za kidunia atashuka na wala nauli hataki kurudishiwa na wataiona hasira ya Mungu

Kuna abiria kaleta zogo hapa anasema bila wao kuzima nyimbo za kidunia atashuka na wala nauli hataki kurudishiwa na wataiona hasira ya Mungu

Katika huduma za umma usafiri na usafirishaji wa abiria utakutana na kila aina ya watu, hivyo ukimkuta mtu ameweka wimbo wa bongo f,dini yake,kabila lake au wewe ambazo hupendi kuzisikia ni kheri ukavumilia hadi mwisho wa safari yako utashuka utasikiliza za kwako, au tembea na headphone,tofauti na hapo kwa nini upande usafiri wa umma wakati hauupendi huo umma? Nunua yako.
 
Nyimbo zenyewe za kishenzi , takataka hizi ,hao mafala wanaimba matusi na lugha chafu ,na mpo kama maombi mnasikiliza na watoto wenu bila aibu , halafu mnalalamika mmomonyoko wa maadili ,
Huyo jamaa na muunga mkono , Watz wapumbavu sana
Maombi ❌
Mazombi ✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hujasema amevaaje au wajihi wake ila tayari ninao .
Amevaa shati mikono mirefu ,suruali kitambaa alafu ni pana kiasi akiwa ameipiga pasi pindo moja lefu toka matakoni mpaka chini .

Ila ana sauti inakwaruza sana maana analala kanisani akipiga makelele .
Lefu❌
Refu✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Yupo sahihi. Kuna mama mtu mzima hivi aliniambia ndani ya bus kuwa sisi vijana tuna nafasi ya kufanya mabadiliko kwa bus za route ndefu kwenda mikoani kuonyesha video za maigizo zenye maudhui ya mambo ya watu wakubwa wakati ndani ya bus kuna abiria wanasafiri na watoto, wazazi au wakwe wao, na pengine wamekaa siti moja au zinazokaribiana
Kuonyesha❌
Kuonesha✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hujasema amevaaje au wajihi wake ila tayari ninao .
Amevaa shati mikono mirefu ,suruali kitambaa alafu ni pana kiasi akiwa ameipiga pasi pindo moja lefu toka matakoni mpaka chini .

Ila ana sauti inakwaruza sana maana analala kanisani akipiga makelele .
Moja lefu ❌
Moja refu ✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
hahahaahhaa aende akapande mabasi yale ya Njombe, Songea, Mbeya, Iringa....wale jamaa kila basi unalopanda hadi daladala ni gopsel mwanzo mwisho, ukute sasa ndio unaenda kwa mtu wako na hizo gospel sasa, unaweza kughairi. au ukute huyo abiria ni mtu wa hayo maeneo ujue!
 
Wangejielewa watu wa usafiri wangeweka free wifi inatosha na Kila mtu anasikiliza na kuangalia anachohitaji, anayejiskia kulala alale kujipumzisha bila bughudha yoyote hivyo yaan, lkn nani mwelewa? Wote wameigana.
 
Sasa huyo anashuka kwenye gari kisa nyimbo ambazo hazimpendezi, lakini anashindwa kuaga dunia ambayo ina kila aina ya dhambi. Think big

Inabidi pia aombe dunia isimame ashuke. Ila kusema ukweli kuna mida wanaweka muziki wao hata ukiwa na mama mkwe unaweza utamani ushuke. Yaani utakuta kavaa kimini halafu sehemu za nyuma ndiyo anawaoneshea kwenye skrin. Hii mitoto ya siku hizi hii, hovyo kabisa
 
Mambo ya ajabu kabisa kabisa!
Unapiga mimbo ya taswida, injili ili iweje?!
Weka radio za taarifa za habari..
Waaafrika ni shida kwa kushobokea madini ya watu!
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Kila mtu ana mtazamo wake kuhusu anachokiamini, na kwa Bongo tumekuwa tukiishi katika jamii mchanganyiko kwa miaka na bila ya uhasama, lakini kwenye wengi pana mengi, kitu kikubwa ni kuheshimiana, kustahamiliana na kupendana. Usafiri wa daladala ni biashara, na biashara huwa haitazami imani ya unayowahudumia bali inatizama faida, hapo dereva ndiyo mwenye uamuzi wa nini cha kufanya katika basi lake na abiria ana uchaguzi wa daladala gani aipande.
 
Lakin
Watu wanaoishi maisha ya mungu ni wachache hivyo Lazima aonekane kituko, lakn gari hiyohiyo, itokee ajali au kutekwa utasikia Eeh Mungu tusaidie, lkn huyo Mungu hataki vitu flani acheni, hamsikii hiyo ndiyo Dunia Ilivyo, watu wanaomcha Mungu hawafurahii mziki wa Dunia pia Mungu hapendi, wote waliomzomea hawataki hayo mambo ya mungu huo ndo ukweli ukubali au ukatae Hali iko hivyo
Pamoja na maisha ya utakatifu hapo kazngua kabsaa. Kwa mfano anapotembea mjini akiona dadaz waliovaa half naked atawapiga au atawafanyaje au ata exit kwenye hiyo jamii?
 
Kuonyesha❌
Kuonesha✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mwamba yupo sahihi , na hayo maneno yote yanatumika kwenye kiswahili , katika hali tofauti za muundo wa sentensi.

Kuonesha =hutumika katika hali ya kuona kitu kwa njia ya moja kwa moja .

Kuonyesha=ni neno pana zaidi katika kufanya jambo liwe wazi zaidi.

ephen_
 
Lakin

Pamoja na maisha ya utakatifu hapo kazngua kabsaa. Kwa mfano anapotembea mjini akiona dadaz waliovaa half naked atawapiga au atawafanyaje au ata exit kwenye hiyo jamii?
Ktk mazingira ya kawaida ilikuwa uunge mkono alichofanya then uelekeze angetumia njia gani, katika kukatazwa mambo yasiyofaa Kuna sehemu unaweza SEMA na sehemu usiyoweza SEMA unachukia na kukaa kimya kwa vile umeshindwa kusema, na Lazima uelewe si Kila sehemu waweza SEMA, hivyo anyamaze na sehemu zinazowez,ekana kusema hapana, amesema anapoweza ni sawa na atanyamaza atakaposhindwa kusema hivyo.
 
Ni kukosa hekima! Tu kwa sababu gari sio lako na waliomo kwenye hilo gari sio wakristo wote hivyo kulazimisha zipigwe nyimbo zako sio sahihi kibiblia unachopaswa kufanya ingia kaa sio lazima ukocentrate kwenye hizo nyimbo weka hata eyephone! Kila mmoja akitaka kufanyiwa anachopenda kwenye vyombo vya public itakuwa ni fujo
 
njia ya kukwepa hoja!
Hakuna hoja iliyokwepwa..

Dini si nzito kiasi hicho

Kwakuwa abiria alikuwa safarini, simple angejiandaa sababu naamini anajua mazingira ya safari zetu, kwanza si private, Kwamaana atakutana na watu wenye imani tofauti... So angeandaa mazingira ya kukwepa hicho ambacho alikuwa hataki kukisikia ama kukiona.
 
Back
Top Bottom