Anunue gari lake na kupiga nyimbo anazotaka yeye humo.Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Wanakuwaga matahira, ndio wakiwaga na magari yao utaona wanabendera ya israeli pale mbele, vinakuwaga vingeseWanakuwaga wajinga wajinga sana,. Kama yule ambaye alisema jana eti Lissu anakunywa maji hadharani sijui nini
Watakupinga bure Mzee Baba.Ya pili inatokana na kitenzi kuonya. Ambayo ni tofauti na kuona.
Interlacustrine R yuko sahihi
Watakupinga bure Mzee Baba.
Kiini cha neno kuonesha = Ona.
Kiini cha neno kuonyesha = Onya.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Fact aisee kama vipi ajiue tu aagane na ulimwengu uliojaa dhambiSasa huyo anashuka kwenye gari kisa nyimbo ambazo hazimpendezi, lakini anashindwa kuaga dunia ambayo ina kila aina ya dhambi. Think big
Wanakuwaga matahira, ndio wakiwaga na magari yao utaona wanabendera ya israeli pale mbele, vinakuwaga vingese
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
🤔Sikubaliani wala sipingani nae.
Ila kinachonishangaza ni kitu kikoja kuhusu saikolojia ya watu. Sijui kwann mtu anapokua anapingana na maslahi ya wengi, watu huchukia na kumpachuka majina kama hayo ya "anajiona mtakatifu".
Yan kikawaida watu wanaweza wakawa wanaona kabisa hiki kitu sio, ila just because ni kundi kubwa la watu linafanya, bas huona sawa tu.
Mmoja akijitangazia misimamo yake personal humpinga.
I really wonder

huyo dada swaf, isipokuwa rangi ya vazi!Mabasi mazuri yapo mengi tu. Tatizo hamsalimii, mnajifanya mko busy sana. Wenzenu tunapanda mabasi ambayo muda wote tunasikiliza mambo ya peponi tu. Mpaka unafika mwisho wa safari inakuwa muurwa kabisa.
Muwe mnasalimia watu ili mvae viatu
View attachment 3257385
huyo dada swaf, isipokuwa rangi ya vazi!
Vinakuwaga Vijinga sanaWenyewe wanafikiri eti iziraeli ni taifa teule. Kumbe nao ni wahuni tu kama wahuni wengine
😛