Kuna abiria kaleta zogo hapa anasema bila wao kuzima nyimbo za kidunia atashuka na wala nauli hataki kurudishiwa na wataiona hasira ya Mungu

Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Anunue gari lake na kupiga nyimbo anazotaka yeye humo.

Hakuna mtu atakayempangia.

Ukiondoa hilo ni ujinga yeye kutaka kuwapangia watu nyimbo zake.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?

Amwombe Mungu anayempigania kwa Msuli ampe gari lake!
 
Sikubaliani wala sipingani nae.
Ila kinachonishangaza ni kitu kikoja kuhusu saikolojia ya watu. Sijui kwann mtu anapokua anapingana na maslahi ya wengi, watu huchukia na kumpachuka majina kama hayo ya "anajiona mtakatifu".
Yan kikawaida watu wanaweza wakawa wanaona kabisa hiki kitu sio, ila just because ni kundi kubwa la watu linafanya, bas huona sawa tu.
Mmoja akijitangazia misimamo yake personal humpinga.

I really wonder
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?

Huu ndio msimamo wangu pia!
 
Sikubaliani wala sipingani nae.
Ila kinachonishangaza ni kitu kikoja kuhusu saikolojia ya watu. Sijui kwann mtu anapokua anapingana na maslahi ya wengi, watu huchukia na kumpachuka majina kama hayo ya "anajiona mtakatifu".
Yan kikawaida watu wanaweza wakawa wanaona kabisa hiki kitu sio, ila just because ni kundi kubwa la watu linafanya, bas huona sawa tu.
Mmoja akijitangazia misimamo yake personal humpinga.

I really wonder
🤔
 
Back
Top Bottom