Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Anunue gari lake na kupiga nyimbo anazotaka yeye humo.Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Hakuna mtu atakayempangia.
Ukiondoa hilo ni ujinga yeye kutaka kuwapangia watu nyimbo zake.