Ufuasi ni jambo moja la msingi sana kama ukitumia akili zako hasa zikiwa sawa kwenye kuamua jambo, lakini ufuasi ukigeuzwa ukondoo, hapo tegemea kuona mambo ya ajabu yatakayo kushangaza muda mwingi.Na ukiwashangaa utaitwa sukuma gang. Hadi wa leo sielewi kwann wafuasi wengi wa chadema wanaona Mama ni mwenzao ila adui yao ni JPM pekee na sio CCM
Ngoja msnyooshwe nyie sukuma gang mkiwa hai na mkiwa makaburiniTuna wanasiasa wa hovyo sana nchi hii
USSR
Sukuma Gang yakitajwa mapungufu ya awamu ya tano mnasema anatukanwa bwana wenu aliyeko kuzimu hivi tatizo lenu ni nini hasa?Habari wakuu
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura
Viongozi wengi wa upinzani na wafuasi wao ni wajinga sana wana waamini na kuwapenda CCM walio baki ila wanamchukia Magufuli wakati hata utawala wa sasa bado ni hio hio CCM.Na ukiwashangaa utaitwa sukuma gang. Hadi wa leo sielewi kwann wafuasi wengi wa chadema wanaona Mama ni mwenzao ila adui yao ni JPM pekee na sio CCM
Kiukweli leo umeongea bila kuingiza ushabikiUfuasi ni jambo moja la msingi sana kama ukitumia akili zako hasa zikiwa sawa kwenye kuamua jambo, lakini ufuasi ukigeuzwa ukondoo, hapo tegemea kuona mambo ya ajabu yatakayo kushangaza muda mwingi.
Kuna kundi la wajinga linalochezeshwa segere na walamba asali, nalo kwa kujua au kutojua, wanakata mauno haswa, walamba asali wanamtumia Magufuli kuficha udhaifu wa Samia, bahati mbaya hawa vibaraka wa walamba asali wanawafanyia kazi walamba asali bila malipo, mihemko imetawala sana.
Kwahiyo hiyo ndio inawasaidia wapinzani kushinda uchaguzi?Wacha ashambuliwe kwa yale mabaya yake aliyofanya na huo ndio ukweli, na msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Stupid of you! Magufuli alikuwa MUUAJI, lazima ashambuliwe kama Hitler anavyoshambuliwa! Where is Azory, Bensaanane, MKIRU thousands of people are no where to be seen, Cococ beach sandarus of dead bodies, acha ujinga shetani mkubwa kama Jiwe weweHabari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Kwahiyo kufanya hivyo ndio inawasaidia wapinzani kuchukua nchi?Stupid of you! Magufuli alikuwa MUUAJI, lazima ashambuliwe kama Hitler anavyoshambuliwa! Where is Azory, Bensaanane, MKIRU thousands of people are no where to be seen, Cococ beach sandarus of dead bodies, acha ujinga shetani mkubwa kama Jiwe wewe
Mfumo unamlisha sahizi hawezi ongea mbovu juu ya sa100"KATI YA NDEGE 11 ZILIZONUNULIWA 6 ZIPO GROUNDED ZINA KUTU"
Zitto kabwe, mbagala.
Sikiliza 88.9 Muda huu. 8:18am.