Honestly ndugu
Hziyech22, sitakosea nikisema kuwa wewe ni "
mjinga 100%" kwa kuwa masikini wewe wa
UFAHAMU na
UELEWA hata hujui unaandika kutetea nini..!!
Hebu nijibu kwanza maswali haya:
1. Umeisoma post yangu #10 na kuilewa au umekurupuka tu kunikwoti kujibu..?
2. Je, Kuna mahali nimekunanga kwa kuwa unamtetea Magufuli..?
##Sikiliza bwana. I am not stupid and ignorant like you kiasi cha kukushambulia eti Kwa kuwa una maoni hasi kuhusu kiongozi fulani awe hai au amekufa..!!
##Wewe uko HURU kumsifu na pengine umwabudu kabisa hayati Magufuli Kwa kadiri ya kupenda kwako..!!
##Lakini na wewe vivyo hivyo usiwe na shida au tashwishwi na wale wanaoukosoa uongozi wake na pengine hata kumkosoa na kumlaani yeye binafsi. Huo ndiyo uhuru wenyewe..!!