Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

Nioneshe uzi niliyoandika unamsifia Magufuli?
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
 
Ufuasi ni jambo moja la msingi sana kama ukitumia akili zako hasa zikiwa sawa kwenye kuamua jambo, lakini ufuasi ukigeuzwa ukondoo, hapo tegemea kuona mambo ya ajabu yatakayo kushangaza muda mwingi.

Kuna kundi la wajinga linalochezeshwa segere na walamba asali, nalo kwa kujua au kutojua, wanakata mauno haswa, walamba asali wanamtumia Magufuli kuficha udhaifu wa Samia, bahati mbaya hawa vibaraka wa walamba asali wanawafanyia kazi walamba asali bila malipo, mihemko imetawala sana.

Kiukweli leo umeongea bila kuingiza ushabiki
 
Acheni watu wateme nyongo bhana, kipindi Cha magufuri watu walitekwa, watu waliporwa mali zao kwa kisingizio ufisadi, watu wamefilisiwa , watu wamefungwa kwa kesi za uongo..watu wameuawa ..watu walionewa , ... Mnayo haki ya kumsifia mtakavyo, lkn hata wanao mponda wanayo haki hiyo hiyo ya kumsema vibaya... kiukweli magu hakuwahi kuwa mzalendo, ilifikia akawa kila mwenye uchumi mzr kwake alionekana ni mwizi, hadi akataka kuingia makanisani kutoza Tozo ya sadaka... Hapana vumilieni enyi wafuasi wake kama ambavyo watu walivumilia mateso yake...msitake kuwapangia nn Cha kuongea juu yake
 
Ila akakopa matrilioni yenye masharti magumu Kwa hao hao wazungu huku aliwadanganya kuwa ni fedha za ndani

Ukweli siku zote utakuondoa katika minyororo ya utumwa wa fikra kwa kutumia ukweli halisi.

Mkuu hakuna anayefanya ushindani huo unaodai. Najua upo kazini, lakini saa nyingine unalazimisha ukweli.

Ukweli unajulikana.
 
Huenda ni Moja ya masharti ya kufunguliwa mikutano waliyopewa kwenye malidhiano baada ya kubwia asali, nimewaza Kwa sauti maana Kwa akili ya kawaida na timamu kabisa huwezi gombana na marehemu maana utaonekana kama mwehu na ndivyo wenye akili tunavyo waona.
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Yamkini wamelipwa pesa ili kumchafua aonekane alikua hafai, kazi ya mafisadi hiyo ya ndani na nje ya System, maana kazi zake kila mTanzania anajua, na wanajua wananchi wanawashangaa kwa sasa ni kama hakuna wanacho fanya , sasa wanawaziba wananchi maneno wasiendelee kuona mtangulizi kua alitufaa, wanamjengea tuhuma kila kukicha ilihali kazi zake na matokeo tuliyaona
 
Issue sio kuchukua nchi issue ni maovu yake yasemwe Ili vizazi vijavyo visije kurudia makosa kama yaliyofanyika 2015
Kama issue sio kuchukua nchi basi msije mkalalamika mmeibiwa kura kama kisingizio
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Luciferi Magufuli atashambuliwa na kupigwa popote pale penye nafasi ya kuzungumza hadharani, kwa sababu tunataka jambo hilo la kumkabidhi madaraka makubwa kiasi hicho mhamiaji haramu, gaidi, katili, mwizi na jambazi lisije likatokea tena nchi hii! Hayo yatasemwa tena na tena mpaka umma wa watanzania hata vijana wachanga wanaojua wajenge shauku huyo mtu alikosea wapi! Kwanini anashambuliwa hivyo na kutukanwa kiasi hicho!
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Ukweli ni kwamba Magufuli alitesa watu na kuumiza wengi. Afadhali “amekufa” angekuwa hai angesota na kuaibika vibaya. Kuna kila sababu ya kuendelea kuweka uovu wake wazi ili jamii itambue ukweli uliofichwa na kuwa makini mtu kama yeye asiwe tena kiongozi wa nchi.
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Ajenda hiyo sio ya wapinzani ila ya wana CCM wahafidhina ambao walibanwa na JPM badala ya kujitokeza wenyewe hadharani wamejiungamanisha na chama fulani kinachopendelea biashara haramu na ufujaji wa mali za umma wapambane na mfu kuwanyong'ong'onyeza waliokuwa wanamuunga mkono JPM bila kujua iwanajimaliza wenyewe na CCM yenyewe kuja kufutika kwenye uso wa dunia
 
Ni kwasababu wameshakata tamaa na hawana nia ya kushika dola. Upinzani wa kweli utatoka CCM by Mwl. J. K. Nyerere
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Wapinzani bado wana hasira na marehemu,na binafsi naona hasira zao hazina logic.
Natamani wapinzani watuletee hoja zao bila kuuzingatia uongozi wa marehemu.

UPINZANI BADO HAWAJAWA NA POINTS ZA MSINGI ZA KUTUAMINISHA WATANZANIA KWAMBA WAO WANA KITU CHA ZIADA ZAIDI KUIIZIDI CCM.
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Kwasasa wapinzani hakuna nchini,,
Wengi wamegeuka kuwa chawa na walamba asali.

Ni wakupuuzwa tu.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Kwa nin sukuma gangs mnataka SAMIA akosolewe kila saa. . SAMIA ni Ccm, JPM CCM
Ila mnataka JPm asifiwe, Samia akosolewe....
WAkati magu hafai
 
Back
Top Bottom