Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

Hawamshambulii bali wanaelezea utawala wake ulivyokuwa mbovu na matokeo yake, ili watanzania waweze kuona umuhimu wa kubadili mfumo mbovu wa sasa. Usipojua ulikotoka utawezaje kujua unakokwenda? Hitler mpaka sasa anasemwa ili watu kizazi cha sasa kisirudie tena makosa. Wewe unataka kila mtu awe na akili za ''kitanzania'' za kusahau jambo baya kabisa lillotokea?
 
Ngoja msnyooshwe nyie sukuma gang mkiwa hai na mkiwa makaburini
Ni sawa na nyani kucheka nyani mwenzake wakati nae tako linaburuzwa na mawe,
Utakuta unatafuta pa kunywa chai kwa mashemeji zako huku unawacheka sukuma gang
 
Magufuli awezekaniki ....mimi napenda wanavyo mshambulia ndiyo anavyo pata nguvu ...maana walimponda ila nchi imewashinda na walio mtia mbowe jela ndiyo wale wale wenzake wanao mponda jpm ....kwa kifupi wahuni wote ni kama wamepigwa na laana na JPM...leo mbowe wa kupanda jukwaani kufungua mkutano wa kisiasa kwa mara ya kwanza huku kalewa chakari [emoji849][emoji849]hiyo ni nini kama siyo laana ya marehemu
 

Wamemshambulia lini? Mbona mnaishi kwa wasiwasi? Mtu kafa lakini kutwa maneno
 
Malizia thread yako.. hujaweka aina ya hayo mashambulizi ili tujiridhishe JPM anashambuliwa ama la!!
 
Awe anasemwa kwa uzuri au kwa ubaya mi nashauri tabia ikome tufanye mengine.Lakini kumbuka hata ccm wanamnanga kwenye mikutano ya chama rejea kauli ya makamba wav wema hawafi.Nape mungu kaamuwa ugomvi na kul bungeni.
 
Nimeandika nikafuta, ngoja nikae kimya tu.
 
Samia hajapora pesa ya mtu wala kupoteza mtu au kumtia mtu kwenye kirobar Coco beach . Akifanya tutamsema Kama jambazi
Kwahio hayo ndio mnaona ndio mapungufu ya kiongozi asiye mzuri. CCM itawale tu hadi mtakapoanza kula murvy
 
magufuli hashambuliwi hata kdg, kinachosemwa ni 'sifa zake alipokuwa hai' kama zilivyo sifa kwa wengine kama Iddi amini, mobutu, hitler na musolini!
Kwahiyo hiyo njia ndio inawasaidia kushinda uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…