Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Kuna mmoja nilimshauri akaniambia niachane naye na niache kufuatilia mambo yake.Alisisitiza kwa kuniambia,kama ni magari ya kike nimuoneshe papuchi na matiti yapo sehemu gani kwenye hayo magari.
 
Back
Top Bottom