Imeisha hiyooo,.Ni mimi mwenyewe mkuu.Ila kuna muda huwa nauliza maswali na kujijibu mwenyewe.Wameshanifungulia bundle la bia bingwa mkuu.Hizi mbili ntalipia mwenyewe.Wewe tuma buku tu.
Sahihi.Naamini ombi langu limekubaliwa.Natanguliza shukrani.Ndimi mtiifu@moisemusajiografiiImeisha hiyooo,.
Kwa namba ileile ya 69 mwisho au??
Haha sawaSahihi.Naamini ombi langu limekubaliwa.Natanguliza shukrani.Ndimi mtiifu@moisemusajiografii
Dah!Hakika hili ni gari la kwenda kusutia mtu uswazi.Mfano haka 😄View attachment 3301538
Kigari cha wadada wanaovaa vijoraDah!Hakika hili ni gari la kwenda kusutia mtu uswazi.
Limekaa kama mtu anakutazama kwa dharau na kabetua mdomo.Kigari cha wadada wanaovaa vijora
Kusomea kibatari hakufanyi kuuchukia umeme.Ukute baba yake hana hata baiskeli,lakini ni uhuru wako kutoa maoni.
Hatimaye wazee wa Vits na Passo wamefikiwa ......Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Wakati mwingine hatununui vitu kwa sababu tunavipenda tunavinunua kwa sababu ndivyo tunavyomudu. Kwa sababu hii ndio maana wanaume wengi wakijipata wanaanza wacheat wake zao kwa mademu yenye misambwanda maana wakati huo wanayamudu ila hapo awali walichukua walicho nacho kwa sababu ndicho walichokuwa wanakimudu.Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Ukisema hivyo asilimia 99% basi watakuwa wamekosea... Kitu cha ecvt na epower tumwachie nani sasaTukitaka kukera zaidi tuseme tu mwanaume hatakiwi kumiliki gari ya auto trans
Wee unayo?Hatimaye wazee wa Passo wamefikiwa ......
Hebu tuwasubiri wajibu mashambulizi.
Wanasema wapewe Soft boys MkuuUkisema hivyo asilimia 99% basi watakuwa wamekosea... Kitu cha ecvt na epower tumwachie nani sasa
Gari nimejifunza manual ila nina zaidi ya miaka 17 sijawahi kuendesha gari ya manual. Tumekuwa ni mwendo wa D and press playWanasema wapewe Soft boys Mkuu
Sema wanaume hawakutongozi! Usisingizie vits 😂Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee