Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
- Thread starter
- #61
Upo wapi nije liveTuone picha yake na wewe ukiwa unaendesha?
Upo wapi nije liveTuone picha yake na wewe ukiwa unaendesha?
Green City karibu mabatini kwenye za makumbosho au magofu ya nyumbaUpo wapi nije live
Fan Cargo kufanya nini?Hahaha...sisi wenye Fan Cargo tunashikilia wapi??
Sawa ila wewe unamiliki vits bila shakaKwa kifupi huyu hamiliki hata baiskeli
Watu wanaomiliki mashine, huwa wanaheshimu watu wengine wenye passo/pikipiki kwa sababu ni hatua tu.....
Nimelipenda hili😅Where we dare to talk openly kafungue app yako huko ndo uweke masharti this is JF
Badluck sipo huo mkoaGreen City karibu mabatini kwenye za makumbosho au magofu ya nyumba
Huna majini?😅 vibaya mno
Weka pichaUnakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Baba yako ana gari gani?Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
😅 hata sijuiHuna majini?
Mkuu tuheshimiane pulizi! 😂😂😂Ni mjinga tu atakaeunga mkono hoja yako, mali ya mtu haina jinsia.
100% ya wanaotoa kauli hizo huwa hawana hata uwezo wa kumiliki fisi.
Majini yapo likizo😅 hata sijui
Basi Toyota SurfOngezea, Nissan Murano
Yani mwanamke ambaye anategemea nimuhonge ndio anipe penzi huyo huyo ndio anipangie gari ya kununua🤣🤣Pole jina lako haliendani na mawazo Yako.