Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Naskia Haji na mkewe wanachafuana huko mitandaoni balaaa...🤣Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Naskia Haji na mkewe wanachafuana huko mitandaoni balaaa...🤣Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Sio kila mwanamke anajiuza Mubaba wewe kama umezoea kutoa pesa ndo upewe poleeYani mwanamke ambaye anategemea nimuhonge ndio anipe penzi huyo huyo ndio anipangie gari ya kununua🤣🤣
Huyu akili zake zero.
Badluck sipo huo mkoa
Vibaya mno yani mtandaoni kumechafukwa ni hekaheka siri zinavujishwa tuNaskia Haji na mkewe wanachafuana huko mitandaoni balaaa...🤣
Halafu wanapenda kunitajataja sijui wana majiniSio kila mwanamke anajiuza Mubaba wewe kama umezoea kutoa pesa ndo upewe polee
Akina nani hao wanakutajaHalafu wanapenda kunitajataja sijui wana majini
wewe ni ke ama meUnakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Huko juuAkina nani hao wanakutaja
We unadhani me ni ke au me?wewe ni ke ama me
Hapo lazima majini yampande kichwaniWe unadhani me ni ke au me?
Hahaha...sisi wenye Fan Cargo tunashikilia wapi??
sitaki kudhani. Ndio maana nimekuuliza.We unadhani me ni ke au me?
Mie baiskeliUnakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Kuna video clip imevuja ya utupu mmoja akiwa ughaibuni mazeee🙄Vibaya mno yani mtandaoni kumechafukwa ni hekaheka siri zinavujishwa tu
Dhanisitaki kudhani. Ndio maana nimekuuliza.
Nani huyo?Kuna video clip imevuja ya utupu mmoja akiwa ughaibuni mazeee🙄
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Nani huyo?
Basi Toyota Surf
Gari lako ni aina gani?Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
HongeraMie baiskeli