Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
NdoivyoSawa nachangamsha genge tu, ila kweli sio ya kike
NdoivyoSawa nachangamsha genge tu, ila kweli sio ya kike
Ila mkuu unaonekana hutaki kushindwa kama ccmNdoivyo
Huwezi isahau maana nilikugongea humo.Vp ulishabadilisha rangi ile vits yako nyekundu?
Aliyeandika uzi ni wakikeKama ni yakike kweli onesha alivyotaka.
Alafu huko ni kuudhihaki ukike
Dah!Kwa hiyo kuna MAGARI na VIPANDO?Harafu acha hivyo vitendo vya kuita vitz na passo gari, acha kabisa, hivyo ni viusafiri.
Anawadhihaki wenzieAliyeandika uzi ni wakike
Gari halina jinsiaUnakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
NdiyoDah!Kwa hiyo kuna MAGARI na VIPANDO?
Utakuta ji dume kubwa limejikunja kwa ISTUnakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Hauwezi kujua ugumu na uchungu wa hela, kwa sababu, ushazoe kupigwa kitu mpingo na kuhongwa.Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Unazungumzia gari ama usafiri wa kutoka point A kwenda point B?Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Sio kweli, ingekuwa kweli muanzishaji wa mada hasingejidharau. Lakini, kwa kuwa ni demu ndio maana kajidharau kuwa wao hawastahili kuendesha magari yenye dhamani, ila wanastahili kuendesha IST kama wanavoendesha.Kudharau jinsi ya kike ni ujinga uliopea viwango maalim.Kama sayansi inasema zaidi ya 80 asilimia ya uumbwaji wa mtu hutoka/huegemea kwa mama,mimi ni nani nilete "zereu"?
😅 Sema nlieenjoyHuwezi isahau maana nilikugongea humo.
😅Hauwezi kujua ugumu na uchungu wa hela, kwa sababu, ushazoe kupigwa kitu mpingo na kuhongwa.
😅 Tena mgando baby careSio kweli, ingekuwa kweli muanzishaji wa mada hasingejidharau. Lakini, kwa kuwa ni demu ndio maana kajidharau kuwa wao hawastahili kuendesha magari yenye dhamani, ila wanastahili kuendesha IST kama wanavoendesha.
Ana akili mgando kweli Principal Girl