Mbona gari inasonya 😏Mfano haka 😄View attachment 3301538
Usafiri huo usiopita sheli 😂
Umeshasema ya kike, kwenye gari mkinionesha palipoandikwa jinsia ya gari hapo sawa.Vaa suruali ya kike mkuu si mali yako?
Hapo sawaKudharau jinsi ya kike ni ujinga uliopea viwango maalim.Kama sayansi inasema zaidi ya 80 asilimia ya uumbwaji wa mtu hutoka/huegemea kwa mama,mimi ni nani nilete "zereu"?
Hiyo sketi na bra unamiliki yanini we mwanaume?Kwakweli hata kama mali ya mtu haina jinsia mimi siwezi kuvaa sketi na brauzia sijui...
Yaani ni raha tupu. Kutoka Lagangabilili kwenda Gamboshi na kurudi Būbale kwa Mīja au Ng'wanikanga hata lisaa limoja halifiki. Halafu we unasema sijui nini...Usafiri huo usiopita sheli 😂
Inaonekana huko ndio usafiri wa uhakika ndege haifui dafu.Yaani ni raha tupu. Kutoka Lagangabilili kwenda Gamboshi na kurudi Būbale kwa Mīja au Ng'wanikanga hata lisaa limoja halifiki. Halafu we unasema sijui nini...
Huwa unatumia akili hii hii kuvuka barabara au kuna nyingine?Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Imeandikwa wapi? Ni ya kiroho au mawazo yako tu ukishiba kande?Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Tunayo na tunatamba nayo.Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Mwanaume wako nimekuona Leo na vitz yenye tairi kiparaUnakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Marcy huwa unaongea point Sanaa hongeraHatulingan vipato mkuu
Kila mtu na chaguo lake
Huwezi lazimisha upendacho wew na wengine wakipende
Mmmmh hayo mabrazia yameingilia WAPI,sisi tunaongelea magari we nyabumbu sawaaa???🫵🫵🤔🥱🥱Kwakweli hata kama mali ya mtu haina jinsia mimi siwezi kuvaa sketi na brauzia sijui...
😂😂😂😂asanteeeeeeMarcy huwa unaongea point Sanaa hongera