Wee unaenda kumiliki bendi, Kwaya, kikundi cha Ngoma za kiutamaduni, taarab au kumiliki kikundi cha sengeli?Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Sio ajabu Baba yako au Mjomba wako ana panda daladala halafu unatukana wenye VitzUnakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Wala siwezi kumiliki, na kama kuna magari ya kike pia siweziHiyo sketi na bra unamiliki yanini we mwanaume?
Fisi hilo lishaanza kumendea 😂😂😂😂Marcy huwa unaongea point Sanaa hongera
Hakuna magari yakike, we ulisikia wapi sheikhWala siwezi kumiliki, na kama kuna magari ya kike pia siwezi
Ni mimiNipe namba ya huyo jamaa yako nimpe ya bia moja😁😁
Hahaa Nilitaka niwakumbushe kidogo mkuu 😂Mmmmh hayo mabrazia yameingilia WAPI,sisi tunaongelea magari we nyabumbu sawaaa???🫵🫵🤔🥱🥱
We vitz unazo ngap?Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
Alikupatiaa haswaaa, 😂😂😂Kuna mmoja nilimshauri akaniambia niachane naye na niache kufuatilia mambo yake.Alisisitiza kwa kuniambia,kama ni magari ya kike nimuoneshe papuchi na matiti yapo sehemu gani kwenye hayo magari.
Sawa mkuu:Hakuna magari yakike, we ulisikia wapi sheikh
theconversation.com
Ndio nnSawa mkuu:
![]()
Electric cars were once marketed as ‘women’s cars’. Did this hold back their development over the next century?
An innovation expert looked at decades of car adverts to find out.theconversation.com
![]()
What’s Up with Japan’s Women-only Cars? Tokyo Weekender
Women-only cars are designed to make women feel comfortable, away from the threat of being groped by a chikan.www.tokyoweekender.com
Basi sasa, Hakuna magari ya kike completely. Ila kuna yanayopendekezwa zaidi kununuliwa na wanawake maana yanaendana na wao kuwa confortable zaidiNdio nn
Bado sio yakikeBasi sasa, Hakuna magari ya kike completely. Ila kuna yanayopendekezwa zaidi kununuliwa na wanawake maana yanaendana na wao kuwa confortable zaidi
Sawa nachangamsha genge tu, ila kweli sio ya kikeBado sio yakike