Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Basi linalomilikiwa na kampuni ya Kandahari limegongana uso kwa uso na lori lilikowa limebebe trela.
Lori lingine limeanguka pembeni.
Mamlaka husika zitoe msaada.
=========
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Kandahari kugongana na lori la mizigo katika eneo la Naiti, Makuyuni, Wilayani Monduli Mkoani Arusha, usiku wa Julai 30, 2026.Kwa mujibu wa mashuhuda, basi hilo lilikuwa likitokea Moshi Mkoani Kilimanjaro kuelekea Mpanda Mkoani Katavi wakati lilipohusika katika ajali hiyo.
Mamlaka husika hadi sasa bado hazijatoa taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki, majeruhi wala chanzo cha ajali hiyo.