Kuna ajali mbaya sana maeneo ya karibu na Makuyuni Arusha

Kuna ajali mbaya sana maeneo ya karibu na Makuyuni Arusha

Ninaumia kusikia hizi ajali sehemu yenyewe unaona ipo vizuri tu ila madereva wa Bus ni changamoto sana pamoja na hao wa magari makubwa pindi yakiharibika...niliwahi kushuhudia Kimbinyiko akigonga fusso iliyokua imebeba watu saba kwenye cabin na kuua watano huko huko usiku jamaa wa fusso kaomba kwa kuwasha taa akate kulia dereva wa bus sijui akuelewa zile taa aisee kilichotokea ni kugongana bus lilipindukia kushoto abiria wote walipona ila wale wa kwenye fusso walitolewa kwa kukata na shoka...mbele yangu kulikua na boda imebeba mwanamke aliponea chupuchupu sana kuchanganywa jamaa mmoja wa Scania alikua nyuma ananyata nae aliona ajali yote ya kizembe nikasema kupanda bus Tanzania ni hatari sana kama ajali ndio zinatokea kirahisi hivi dereva alikimbia akabaki wa akiba kutetea uongo wake pale..
 
Back
Top Bottom