Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Umeanza lawama.98% ya ajali ni uzembe. Tuwe makini.
Hakuna kipindi ambacho ajali zimeshamiri kama Kipindi hiki kuanzia 2021 ajali zimekuwa nyingi sana kuna mahali kama taifa tumekosea tujisahihishe98% ya ajali ni uzembe. Tuwe makini.
Lawama gani mamlaka zinazohusika na usimamizi wa usalama barabarani zinanuka rushwa tu magari mabovu barabara zimejaa mahandaki kila kona madereva walevi, unafikiri tutafika huko tuendakoUmeanza lawama.
Traffic na vehicle inspector wananuka rushwa kila konaHakuna sirikali barabarani kwa awamu hii!
Haste generalization.Kandahali na mabasi mengine hudhani mwendokasi ndio huduma bora kwa abiria wao.
AiseeHakuna kipindi ambacho ajali zimeshamiri kama Kipindi hiki kuanzia 2021 ajali zimekuwa nyingi sana kuna mahali kama taifa tumekosea tujisahihishe
How?Tatizo la Kampuni ya Kandahar ni CRDB
MadeniHow?
Yanaingia vipi?Madeni
Ni wadaiwa ,ili , kulipa marejesho, kukimbiza magari ili kutafuta abiria ni laximaYanaingia vipi?