project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
.
upo sahihi mkuuKampuni kubwa binafsi na mabenki inasemekana ndo mishahara yao
Mfano:Kampuni za simu mf Voda, Bia mf TBL ama SBL,TzDistillers,wauza soda mfano Cocacola na Azam ,sigara -TCC ,Bank mf CRDB,NMB nk
mimi ndo napita hapa sasa palm beach nakutana na millard ayo anapiga piga picha za matangazoKwa aina ya magari tu ambayo yanakatiza mataa ya Palm Beach pale siwezi kupingana na hilo mkuu😂
Usd 20500CEO wa simba analipwa sh ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee! Tunachelewa sana....kumbe huwa wanatuchora tuu na mabango yetu siku ya Wafanyakazi.
Bado na marupurupu mengine kwa hiyo anaweza fika million 100 kwa mwezi.. Safi sanaUsd 20500
YeahBado na marupurupu mengine kwa hiyo anaweza fika million 100 kwa mwezi.. Safi sana
Akina nan hao aseeMimi nawajua watu kama sita mishahara yao ni zaidi ya milioni 60 kwa mwezi na wamepanga masaki nyumba za dola 5000 kwa mwezi manake milioni 10 kwa mwezi kama kodi ya nyumba
KITENGO GANIII???Kampuni kubwa binafsi na mabenki inasemekana ndo mishahara yao
Mfano:Kampuni za simu mf Voda, Bia mf TBL ama SBL,TzDistillers,wauza soda mfano Cocacola na Azam ,sigara -TCC ,Bank mf CRDB,NMB nk
ahahaaaaaMshahara hata ungekua mil 100 lakin kama ulioa mke hana bikra hiyo ni kazi bure. Au nasema uongo joka jeusi
Ili upate nini baada ya kujua, ishi ndani ya 18 zako.Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa.
Tiririkeni wadau.
Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa
Unasema ukweli nduguMshahara hata ungekua mil 100 lakin kama ulioa mke hana bikra hiyo ni kazi bure. Au nasema uongo joka jeusi