Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Hapo sawa.
Wee 120 zote za nini mie nikipata net take home tuu ya 10m mbona full burudani alafu sana natia kambi kwenye vyuo vikuu mzee ...mie nadeal na first years na second years tuu.🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa huo mpango wa kufanya umalaya hio hela ingekuwa still haitoshi.😂😂😂
 
kuna kazi nimetwa interview ijumaa hii, Jamaa wameniambia salary Usd 12,000, nahisi hata hiyo interview nimeshaishindwa, kwasababu kichwa kinaiwazia hiyo hela tu
Hahahah huo mshahara unaweza ukakuua mapema sana kama unatokea familia za kimatumbi 😂
 
Mkurugenzi wa Madin,
mtanzania pale accacia alkua anakunja Mshhahara wa millioni 146 kwa mwezi
Sasa kwanini asiwauze kwenye mkataba 😂😂😂!!!

Af kuna mbwa anasema ajira haiwezi kukufanya kuwa tajiri! Ni hongo anayokupa boss usahau ndoto zako 😁😁😁 kmlmmyk!

Sasa acha million 146 kafungue Hardware ama guest house ikulipe zaidi ya hio kwa mwezi uone hao TRA na genge lake watakavyokunyoosha.

Kuna ajira na vibarua jamani😂 tujue kutofautisha. Wengi tunaenda vibaruani.

Kama unafanya kazi ambayo mshahara wako ni lazima ucheze kibati ili ukutoshe mwezi mzima jua uko kibaruani 😂😂😂! Kama kununua gari lazma ukope kwanza ndio uweze kununua kigari chakavu beforward jua uko kibaruani. Wenye ajira huwa wanaenda zao CMC motors au Toyota Tanzania kununua magari!
 
Na wenye hela Dar es Salaam wanaenda kushinda beach kidimbwi 😀😀😀😀
 
Watu wa halmashauri wanawatazama kwa hasira!
Yani katika vitengo vya serikali pamegawanyika napo Wapo watumishi wa level ya kinondoni yani Obey, Masaki,Mikocheni, Mbezi...Huku ndio level ya CEOs ambako watu wanaishi kama Peponi. Hawa ndio wanaosukuma vyuma 0 Kms! Untouchables...

Wapo wa level ya ilala yani K/Koo, Posta, Buguruni,Tabata. Hapa ndio wafanyakazi wa mamlaka hizo TBS,TFDA, TRA n.k

Wapo wa level ya Temeke, Keko, Mbagala, , Mkuranga. Level hii ndio watu wa Halmashauri na watumishi wa mahakama huko 😂😂😂!!!
 
Kwa huo mpango wa kufanya umalaya hio hela ingekuwa still haitoshi.😂😂😂
Wee million kumi net sina mke sina mtoto silipi ada nashindwaje kutenga budget ya 2m kwa mwezi kugegeda warembo on the wikend? 200k tuu unapata mtoto wa chuo safi kabisa
 
Kule mzunguko wa hela upo juu sana.. ndio maana hawakauiki.. ila nashukuru mguu wangu haujawahi kanyaga kidimbwini 😀😀😀😀
Mie pia sijawahi timba hapo napaskia tu ila ntajitahidi siku moja nisogee hapo nione.
 
MD fulani anakula zaidi ya hyo na safari za nje ya nchi mara kwa mara haziishi analipiwa kila kitu
Kuna watu wanakula maisha sana hii nchi .
 
Eeh bwana jana nimekatiza Mbweni aibu nikaona mimi, sikuwahi kufikaga mazingira yale ila jana ndio nimeenda bana we kuna watu wana maisha wengine tunasindikiza
Ulisha wahi kufika Mji mwema Kigamboni kwa Anna Makinda?

ukiwa unatafuta maisha kuna sehemu nyingine hutakiwa kufika aisee.. Kuna watu peponi hapa dunian
 
mbweni ni kufuru kuna watu wana theather za cinema ndani
Eeh bwana jana nimekatiza Mbweni aibu nikaona mimi, sikuwahi kufikaga mazingira yale ila jana ndio nimeenda bana we kuna watu wana maisha wengine tunasindikiza
 
Back
Top Bottom