Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa.

Tiririkeni wadau.

Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa
Boss wangu wa zamani anavuta take home USD 20,000 piga hesabu mwenyewe hiyo ni bei gani?
 
Hata wakurugenzi wa taasis wanapokea 20+, salary n allowances TANESCO, EWURA, TPDC, REA, TTCL, TCRA, NHC etc . Hii Ni confirmed sio porojo
Kama huyu wa TPDC mke wake anakaa marekani so kila weekend jamaa anakula fright kwenda kula kimasihara watu wanaishi jamani acheni tu kuna wale wanaomiliki kiwanda cha cement cha wazo nao bosi yuko level hizo anaishi kama yuko peponi
 
Wewe dada kwa fix tu uko vzr
Mkuu wewe una lack exposure unaishi buza kwa mpalange basi unahisi watu wote wanamaisha kama hayo ya kula ugali na utumbo wa kuku ha ha ha ha ha njoo masaki na mbezi ya chini uone watu wanavyoishi kuna watu wanapesa hata huyu jiwe hawamuogopi na yeye anajua hawashikiki hao na hawana mambo hizi za kimasikini za kujitangaza
 
Hawezi mkuu yeye ndio kamuomba aje kumuwekea shirika sawa mtu kama huyo ana connection kubwa hakosi kazi ulaya ya pesa ndefu zaidi ya iyo sema wengine wazalendo wanaamua kuludi kuja kusaidia nyumbani
Ngoja niamke nikapambane
 
Ningewamaliza aisee. Hizi toto zote bonge ningezimaliza.. alafu uhuondo wa hii pesa usiwe umeoa.. tafuta manzi kali sana unaizalisha inayo ishi abroad.. ili kuondoa figisu figisu kama za kina mobeto hapa

Mwanawane mie sizalishi maananukishazaa nae ataingia tamaa za kijinga. Hapo mie ni mwendo wa 3some kila wikend yaani...mambo ni dabali dabali tuu.

Monday to friday napiga job sitaki kelele sasa jmosi na jpili mi ni kugegeda tuu dabali dabali🤣🤣🤣🤣🤣
 
😁😁😁😁... ili kuondoa tamaaa ndio ningeeda mtia mtu abroad asie na details zangu kamili, anione tu kama mpambanaji.. ila bongo , kenya, uganda, rwanda pisi zote kali ningelala mazo mbeleee hatari yaani... dah! Ngoja na mie niziongeze juhudi huenda one daya nitalipwa hata 120+
 
Hapo sawa.
Wee 120 zote za nini mie nikipata net take home tuu ya 10m mbona full burudani alafu sana natia kambi kwenye vyuo vikuu mzee ...mie nadeal na first years na second years tuu.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom