Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

huyu ni wewe,ndio unahisi mambo ni rahisi rahisi tu.

kuamua kutokuwa na mtoto,kutokuwa na mtoto ni vitu viwili tofauti.sawa sawa na kuamua kutokuwa na mke na kushindwa kiwa na mke.

hilo la mtoto linaweza kuwa halina mashiko sababu mtoto ni majaaliwa,ila mtu mzima kuamua kutokuwa na mke ni ishara ya tatizo sehemu.

ndio sababu hata kwenye interviews wanaweka na kipengere cha ndoa,maana yake huko mbele kitakuwa ni lazima.sio unakuja kazini umeamkia guest uachwe sababu kampuni inakutegemea sana.
Mzee hivi ulishawahi kufanya kazi kampuni kubwa? Hivi vigezo unavitoa wapi?
 
Ningewamaliza aisee. Hizi toto zote bongo ningezimaliza.. alafu uhuondo wa hii pesa usiwe umeoa.. tafuta manzi kali sana unaizalisha inayo ishi abroad.. ili kuondoa figisu figisu kama za kina mobeto hapa
Ndo maana hufanikiwi na hutofanikiwa kamwe
 
Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa.

Tiririkeni wadau.

Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa
Mimi namfahamu jamaa mmoja alikuwa Chief Finance Officer wa Tour Company moja Arusha alikuwa analipwa US $45,000/= kwa mwezi...sawa na TZS 103,635,000/= kwa mwezi !!!! Sasa hivi COVID-19 imemtoa kwenye ajira ila kajiwekeza sanaaaa hana shida kama sie
 
unazungumzia duniani ambako hata CO kuwa ***** sio ishu!!!


mada ya hapa ni mapapa wa bongo wanaolipwa pesa mlima.
Jamaa unazingua.. mie nazungumzia bongo kuna comoany zinapiga mpunga mrefu sana na ma CO hawana hata wake wanazalisha tu na mishahara yao hadi 20 + mill. Nawajua mie mwenye CO wa company yangu nalamba hadi 18 + na sina demu nipo single ila najigi jigi kinyama nyama watoto wa level ya mpunga wangu 😀😀😀
 
Jamaa unazingua.. mie nazungumzia bongo kuna comoany zinapiga mpunga mrefu sana na ma CO hawana hata wake wanazalisha tu na mishahara yao hadi 20 + mill. Nawajua mie mwenye CO wa company yangu nalamba hadi 18 + na sina demu nipo single ila najigi jigi kinyama nyama watoto wa level ya mpunga wangu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukiona hivyo yupo mwenye mume wake,anayetambulika rasmi.

Hakuna CO anaishi kama mbwa tz.
 
ukiona hivyo yupo mwenye mume wake,anayetambulika rasmi.

hakuna CO anaishi kama mbwa tz.
Unanichekekesha sana.. hujui vitu wewe... kumbe bado sana.. acha nikae kimywa nikisema nimwage fail humu watanijua kuwa ni mimi.. endelea kuamini hivyo hivyo.. maana hakuna kitu chenye nguvu kama imani
 
Back
Top Bottom