Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Mkuu wewe una lack exposure unaishi buza kwa mpalange basi unahisi watu wote wanamaisha kama hayo ya kula ugali na utumbo wa kuku ha ha ha ha ha njoo masaki na mbezi ya chini uone watu wanavyoishi kuna watu wanapesa hata huyu jiwe hawamuogopi na yeye anajua hawashikiki hao na hawana mambo hizi za kimasikini za kujitangaza
Inamaana hata akitaka kuwatumbua hawawezekani?
 
kuna kazi nimetwa interview ijumaa hii, Jamaa wameniambia salary Usd 12,000, nahisi hata hiyo interview nimeshaishindwa, kwasababu kichwa kinaiwazia hiyo hela tu
Boss, Nifanyie mpango na mimi nikafanye hiyo interview.
 
Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa.

Tiririkeni wadau.

Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa
Director General wa National Housing and some of other full autonomous government organizations
 
mna akili za ajabu sana nyinyi watu[emoji16][emoji16].

kwanza msichofahamu, kuna cheo hupewi kama huna familia rasmi,yaani unakuta wenye sifa mko wengi,ila sifa za ziada ni kama hizo,uwe umeoa na unaishi na mke wako,boss kuishi bila mke ni dalili ya kuwa na boss mhuni.
Bila mke hata ujumbe wa nyumba 50 utaupata kwa shida
 
rates za mishahara bongo nizakinunda ila wenzetu wama kampun makubwa Wakalamba pesa ndefu sana tafakuri MD Wa Anglo cold mine analamba ngapi? Kwaheri
 
kuna kazi nimetwa interview ijumaa hii, Jamaa wameniambia salary Usd 12,000, nahisi hata hiyo interview nimeshaishindwa, kwasababu kichwa kinaiwazia hiyo hela tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]we jamaa
 
Wanaovuta pesa nyingi ni wale waliosoma uhasibu,uchumi,sheria,uhandisi,masoko etc sijaona daktari,mfamasia,sociology
Madaktari,wafamasia,sociology hulipwa vizuri wakifanya kazi kwenye NGOs.
Tatizo kwenye government hospitals mishahara yao ni midogo na ukienda private hospitals kama Agakhan na TMJ pesa ndefu wanapewa doctors wa kutoka India na Pakistan.
 
sekta binafsi inawezekana..,mfano mtu alosomea cip supply chain nje.., akija bongo mshahara wake una range ya 30m. ni kawaida sana. Ila kwa makampuni makubwa,
 
Back
Top Bottom