Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Lakini pia usisahau uchumi wao pia unafanya vitu vinakua bei ghali, mfano rent ya chumba kimoja self contained inaweza kufika dola 1,000... kuja kumiliki nyumba ni ndotooo huko majuu... sometimes mi nnaona bora bongo, ukipata kimshahara chako say 1.2m unapanga geto uswazi 50k, unasave na kuweza kujenga. Marekani mshahsra wa usd 9,000 kumiliki nyumba itakuchukua muda mrefu sana

Bora nilipwe 5milion bongo kuliko 20milion hapo US

Vocha yangu hapa ni 12k kwa mwezi na enjoy tu ila us nadhani ili ni enjoy hivi ma dk kibao , sms , mb ...bila kukosea natakiwa kuwa na laki 2 per month as vocha
 
Bado haina faida kivile maisha ni bei ghali kwanzia umeme, kama anaishi nchi ya baridi sana manake heater muda wote bando enyewe utakuta karbu laki 3
Kumbe kumbe bongo maisha kitonga aka tambaraleeez (in lemutuz voice)
 
mna akili za ajabu sana nyinyi watu[emoji16][emoji16].

kwanza msichofahamu, kuna cheo hupewi kama huna familia rasmi,yaani unakuta wenye sifa mko wengi,ila sifa za ziada ni kama hizo,uwe umeoa na unaishi na mke wako,boss kuishi bila mke ni dalili ya kuwa na boss mhuni.
Mkuu Vodacom kuna jamaa yupo kitengo cha finance hajaoa analipwa 50m kwa mwezi...umri ni between 30-33
 
Kuajiriwa ukiwa na mawazo ya hivyo utaumia sana. Ukiajiri na kama umeamua kuajiriwa jikite sana katika kujenga uwezo wako ki elimu na michango yenye tija na kulinda image yako.. na kuunda network in and out .. rahisi sana kuingia katika ngazi za ukurugenzi.. Mie kipindi naona ajira muhimu nilijaribu kufanya hivyo.. ila mwisho wa siku nikaona mie sio wa kuajiriwa
Mkuu inaonesha umefanikiwa sana... Mi nipe ata ulinzi tu [emoji16] ni enjoy life
 
Kwa serikalini wanaolipwa mamilioni ni wanasheria,wahasibu,wataalam wa fedha,usimamizi wa buashara,wataalam wa bank,wachumi,wataalam wa kodi,mainjinia,hizo ndo taaluma zenye pesa na hata vitengo vyenye pesa mfano TRA,BoT ndio wap humo huwezi kukuta daktari,mfamasia,nesi,architect, nurse,yuko huko TRA na BOT kwa kifupi ni hakuna vitengo hivyo
 
Kumbe Tanzania tuna mabilionea wengi sana ata USA wanatuzidi tu technology [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Imagine gross salary M70 monthly ×12month×5yrs =4.5B ata mbunge hafiki.
Ulikimbia umande nini mkuu?[emoji115][emoji41]
 
Back
Top Bottom