Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

mi nawajua watu kama sita mishahara yao ni zaidi ya milioni 60 kwa mwezi na wamepanga masaki nyumba za dola 5000 kwa mwezi manake milioni 10 kwa mwezi kama kodi ya nyumba
Dah ase kwahiyo anakula 60m kwa mwez? Hiyo 60m Kuna mtu anatumikia serekal kwa miaka hata 25+ na akistaaf mafao yake hayafik 60m
Kwel kila mtu na rizk yake
 
Unaweza kusema Rais anakula 9m lakin anaposho nying balaa , anaweza akala posho zaid hata ya Mara 3 ya mshahara
Uraisi hata bure fresh tena hata wewe ukiulipia kwa mwezi million mia fresh tu,kama anatoaga yale mamillioni kwa wanyonge barabarani na kanisani achilia mbali hata bei ya unga haijui ...achana na uraisi kabisa
 
Uraisi hata bure fresh tena hata wewe ukiulipia kwa mwezi million mia fresh tu,kama anatoaga yale mamillioni kwa wanyonge barabarani na kanisani achilia mbali hata bei ya unga haijui ...achana na uraisi kabisa
Au uwe wazir mkuu tu inatosha hata ukistaaf we ni kula maisha tu hudum zote wanazopewa viongoz waliopo madarakan na we unapata gar zikibadilishwa na wew unaletwa na ulinz wa kutosha
 
Tsh Million 20 ni sawa na US dollar 9,000...
Kwa mbele huo ni mshahara wa nurse
Lakini pia usisahau uchumi wao pia unafanya vitu vinakua bei ghali, mfano rent ya chumba kimoja self contained inaweza kufika dola 1,000... kuja kumiliki nyumba ni ndotooo huko majuu... sometimes mi nnaona bora bongo, ukipata kimshahara chako say 1.2m unapanga geto uswazi 50k, unasave na kuweza kujenga. Marekani mshahsra wa usd 9,000 kumiliki nyumba itakuchukua muda mrefu sana
 
Tsh Million 20 ni sawa na US dollar 9,000...
Kwa mbele huo ni mshahara wa nurse
Lakini pia usisahau uchumi wao pia unafanya vitu vinakua bei ghali, mfano rent ya chumba kimoja self contained inaweza kufika dola 1,000... kuja kumiliki nyumba ni ndotooo huko majuu... sometimes mi nnaona bora bongo, ukipata kimshahara chako say 1.2m unapanga geto uswazi 50k, unasave na kuweza kujenga. Marekani mshahara wa usd 9,000 kumiliki nyumba itakuchukua muda mrefu sana
 
Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa.

Tiririkeni wadau.

Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa

Ubunge.
 
Back
Top Bottom