Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Kumbe Tanzania tuna mabilionea wengi sana ata USA wanatuzidi tu technology [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Imagine gross salary M70 monthly ×12month×5yrs =4.5B ata mbunge hafiki.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]... ili kuondoa tamaaa ndio ningeeda mtia mtu abroad asie na details zangu kamili, anione tu kama mpambanaji.. ila bongo , kenya, uganda, rwanda pisi zote kali ningelala mazo mbeleee hatari yaani... dah! Ngoja na mie niziongeze juhudi huenda one daya nitalipwa hata 120+
mna akili za ajabu sana nyinyi watu[emoji16][emoji16].

kwanza msichofahamu, kuna cheo hupewi kama huna familia rasmi,yaani unakuta wenye sifa mko wengi,ila sifa za ziada ni kama hizo,uwe umeoa na unaishi na mke wako,boss kuishi bila mke ni dalili ya kuwa na boss mhuni.
 
kwanza msichofahamu,kuna cheo hupewi kama huna familia rasmi,yaani unakuta wenye sifa mko wengi,ila sifa za ziada ni kama hizo,uwe umeoa na unaishi na mke wako,boss kuishi bila mke ni dalili ya kuwa na boss mhuni.

Waambie hao
Maana tangu muda mrefu nawacheck tu wanavyofarijiana
 
Ukitaka pesa fanya uwekezaj kwenye biashara kuna jamaa karith mabus ya baba yake muarabu huyo ni kachalii tu kadogo miaka 23 kwa siku anakwambia anaingiza zaid ya 10million hapo gar zmeshakunywa mafuta wafanyakaz wameshakula posho zao na hela ya service pemben
 
mna akili za ajabu sana nyinyi watu[emoji16][emoji16].

kwanza msichofahamu,kuna cheo hupewi kama huna familia rasmi,yaani unakuta wenye sifa mko wengi,ila sifa za ziada ni kama hizo,uwe umeoa na unaishi na mke wako,boss kuishi bila mke ni dalili ya kuwa na boss mhuni.

Ah huo ujinga...kwani kama mie naweza kuendesha kampuni yako na kukuletea faida mambo yangu private yanahusikaje tena hapo
 
mambo private ni ya msingi sana,maana yanaweza kuingilia mstakabali wa kampuni hasa kama hayako vyema.

fikiria boss hajabahatika kupata mtoto kwenye maisha yake na yuko na 52yrs,unadhani atakuwa na hali gani.
wakati kampuni inafikiria kumlipa sana ili aongeze tija kwenye kampuni,yeye anaona haina maana sababu hana mrithi.
 
mna akili za ajabu sana nyinyi watu[emoji16][emoji16].

kwanza msichofahamu, kuna cheo hupewi kama huna familia rasmi,yaani unakuta wenye sifa mko wengi,ila sifa za ziada ni kama hizo,uwe umeoa na unaishi na mke wako,boss kuishi bila mke ni dalili ya kuwa na boss mhuni.
Sio kweli kuna ma MD na CEO wasio na wake wanakula mipunga hiyo mirefu tu, pia unaweza peo cheo ukiwa na familia na badae ukaitumbua.. na kubaki single.. mifano ipo mingi tu..
 
mambo private ni ya msingi sana,maana yanaweza kuingilia mstakabali wa kampuni hasa kama hayako vyema.

fikiria boss hajabahatika kupata mtoto kwenye maisha yake na yuko na 52yrs,unadhani atakuwa na hali gani.
wakati kampuni inafikiria kumlipa sana ili aongeze tija kwenye kampuni,yeye anaona haina maana sababu hana mrithi.

Suala la mtu kuamua kuwa hataki mtoto hiyo ni personal...wee unachotakiwa kuangalia ni utendaji wake basi.

Yule mama wa ujerumani hana mtoto lakini kazi inapigika...sasa utamdisqualify kisa kaamua kuwa hataki mtoto?
Tena mind u inaweza kuwa kapata mafanikio mpakanmkamtaka kutoka na yeye kuamua kufocus kwa career yake tuu.

Kama personal life inaingilia utendaji wa ceo hapo sawa lakini kama end of the year kampuni inaleta mihela ....i wouldnt careless ata kama anagegeda wanawake million moja...hiyo ni ishu yake yeye na mungu wake
 
Sio kweli kuna ma MD na CEO wasio na wake wanakula mipunga hiyo mirefu tu, pia unaweza peo cheo ukiwa na familia na badae ukaitumbua.. na kubaki single.. mifano ipo mingi tu..
huyo co wako bachelor ni kwamba atakuwa kaacha mke akiwa hapo au alifiwa.

ukijua CO yupo kundi gani la wafanyakazi,ndio utaelewa ninachokwambia.sababu zinazofanya mshara uwe mrefu hivyo na mke anahusika,nyuma lazima iwe na kila kitu sababu ya familia.
 
Mkuu wewe una lack exposure unaishi buza kwa mpalange basi unahisi watu wote wanamaisha kama hayo ya kula ugali na utumbo wa kuku ha ha ha ha ha njoo masaki na mbezi ya chini uone watu wanavyoishi kuna watu wanapesa hata huyu jiwe hawamuogopi na yeye anajua hawashikiki hao na hawana mambo hizi za kimasikini za kujitangaza
Story za vijiweni tu hizi,nkajua utakuja na data
 
Wako wengi sana mkuu, mwaka 2010 yule mhaya ambaye alikuwa na kesi ya kuhujumu uchumi katika utawala huu na akalipiwa pesa na Accacia zaidi ya 4b akaachiwa alikuwa muajiriwa wa Barrick baadae Acaccia alikuwa analamba 45m kama mshahara na bado kuna posho zingine nyingi tu
 
huyo co wako bachelor ni kwamba atakuwa kaacha mke akiwa hapo au alifiwa.

ukijua CO yupo kundi gani la wafanyakazi,ndio utaelewa ninachokwambia.sababu zinazofanya mshara uwe mrefu hivyo na mke anahusika,nyuma lazima iwe na kila kitu sababu ya familia.
Acha kubisha kuna Ma- CEO single wengi sana, kuwa na familia sio kigezo cha UCEO
 
huyo co wako bachelor ni kwamba atakuwa kaacha mke akiwa hapo au alifiwa.

ukijua CO yupo kundi gani la wafanyakazi,ndio utaelewa ninachokwambia.sababu zinazofanya mshara uwe mrefu hivyo na mke anahusika,nyuma lazima iwe na kila kitu sababu ya familia.
Naelewa kila kitu mkuu.. Sio kwamba sijui mkuu. Na ninafanya kazi na CEO na ma MD tena company kubwa sana duniani..
 
Suala la mtu kuamua kuwa hataki mtoto hiyo ni personal...wee unachotakiwa kuangalia ni utendaji wake basi.

Yule mama wa ujerumani hana mtoto lakini kazi inapigika...sasa utamdisqualify kisa kaamua kuwa hataki mtoto?
Tena mind u inaweza kuwa kapata mafanikio mpakanmkamtaka kutoka na yeye kuamua kufocus kwa career yake tuu.

Kama personal life inaingilia utendaji wa ceo hapo sawa lakini kama end of the year kampuni inaleta mihela ....i wouldnt careless ata kama anagegeda wanawake million moja...hiyo ni ishu yake yeye na mungu wake
huyu ni wewe,ndio unahisi mambo ni rahisi rahisi tu.

kuamua kutokuwa na mtoto,kutokuwa na mtoto ni vitu viwili tofauti.sawa sawa na kuamua kutokuwa na mke na kushindwa kiwa na mke.

hilo la mtoto linaweza kuwa halina mashiko sababu mtoto ni majaaliwa,ila mtu mzima kuamua kutokuwa na mke ni ishara ya tatizo sehemu.

ndio sababu hata kwenye interviews wanaweka na kipengere cha ndoa,maana yake huko mbele kitakuwa ni lazima.sio unakuja kazini umeamkia guest uachwe sababu kampuni inakutegemea sana.
 
Back
Top Bottom