Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Unanichekekesha sana.. hujui vitu wewe... kumbe bado sana.. acha nikae kimywa nikisema nimwage fail humu watanijua kuwa ni mimi.. endelea kuamini hivyo hivyo.. maana hakuna kitu chenye nguvu kama imani
wanakujuaje sasa,kwani hiyo kampuni mnafanya kazi wawili tu,wewe na CO wako??
 
hata wewe unaweza kuwa single sababu ikawa kifo au kuachana,ila una cheti cha ndoa nakala ziko ofisini kwako.
Nilishakuwa na mchumba, tulipo achana ndio ikawa mazima hadi leo.. na hakuwa oficial.. kinachobeba na mafanikio na uzoefu kuepuka skendo ma record chafu za aina yoyoyte.. kama una play safe haina shida.. kulinda image ndio kitu cha muhimu zaidi
 
wanakujuaje sasa,kwani hiyo kampuni mnafanya kazi wawili tu,wewe na CO wako??
Unacho ongea kwa CO au MD wao jielewa au watu waliopo katika nafasi za u Director kinachofanyika watu hulinda image zao na kuepusha record mbaya
 
Jamaa unazingua.. mie nazungumzia bongo kuna comoany zinapiga mpunga mrefu sana na ma CO hawana hata wake wanazalisha tu na mishahara yao hadi 20 + mill. Nawajua mie mwenye CO wa company yangu nalamba hadi 18 + na sina demu nipo single ila najigi jigi kinyama nyama watoto wa level ya mpunga wangu 😀😀😀
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Na wewe ukawa unavuta take home ya USD 200
Umenikumbusha TTPL-Tumbaku Moro kwenye interview tumefanya title kubwa tukawa tunawaza namna gani tutakavyovimba na Nissan Hardbody mpya za kampuni.

Mwisho wa siku unakuja kupangiwa kazi ambapo boss wako anavuta salary mara 20 ya pesa yako.
 
huyu ni wewe,ndio unahisi mambo ni rahisi rahisi tu.

kuamua kutokuwa na mtoto,kutokuwa na mtoto ni vitu viwili tofauti.sawa sawa na kuamua kutokuwa na mke na kushindwa kiwa na mke.

hilo la mtoto linaweza kuwa halina mashiko sababu mtoto ni majaaliwa,ila mtu mzima kuamua kutokuwa na mke ni ishara ya tatizo sehemu.

ndio sababu hata kwenye interviews wanaweka na kipengere cha ndoa,maana yake huko mbele kitakuwa ni lazima.sio unakuja kazini umeamkia guest uachwe sababu kampuni inakutegemea sana.

Wee bwana ni ceo guest inakuja vipi wakati mjumba wako wa ukweli umepewa. Na kampuni?

Sikiliza bwana maburudani ndio raha ya dunia.

Wapo watu duniani hawataki watoto na maishanyanaenda tuu. Sasa kwa mfano eistein angeambiwa kwa sababu wewe umegegeda binamu yako na kumuoa basi wee hutakiwi kwa hapa princenton katika institute yao sii dunia ingekula hasara.

Kaka kama unakipaji hivyo unavyoongea vya private life watu hawaangalii.

Tariq aziz alikuwa mkristo lakini ndio alikuwa ndio one of saddams trusted lutenants...sasa imagine a christain in a islamic country ndio unakuwa trusted....acha bwana mambo yako binafsi as long as hayaingilii utendaji watu wanakula kazi tuu
 
Mishahara ya Barick gold mining baba weka mbali na watoto. Get keeper tu anakula 7M
Siyo kwel mkuu Barick kwanza kweny mamb ya ulinz wanaajir kampun wanailipa hiyo kampun alaf ile kampun ndo inalipa walinz wake, mshahara wa huyo get keeper haufik hata milion1 had ulipwe hiyo million 7 we ni mtu wa nafas ya juu sana
 
HAYA mambo ni ya siku hizi, zamani 2012 kurudi nyuma baarick ilikuwa na walinzi wake
 
HAYA mambo ni ya siku hizi, zamani 2012 kurudi nyuma baarick ilikuwa na walinzi wake
Skuiz nafkir wananyonywa na hizo kampun unakuta mlinz mmoja barick anatoa labda 1.5m kwa mwezi lakin kampun inawalipa laki 6 or 7
 
Umenikumbusha TTPL-Tumbaku Moro kwenye interview tumefanya title kubwa tukawa tunawaza namna gani tutakavyovimba na Nissan Hardbody mpya za kampuni.

Mwisho wa siku unakuja kupangiwa kazi ambapo boss wako anavuta salary mara 20 ya pesa yako.
Kuajiriwa ukiwa na mawazo ya hivyo utaumia sana. Ukiajiri na kama umeamua kuajiriwa jikite sana katika kujenga uwezo wako ki elimu na michango yenye tija na kulinda image yako.. na kuunda network in and out .. rahisi sana kuingia katika ngazi za ukurugenzi.. Mie kipindi naona ajira muhimu nilijaribu kufanya hivyo.. ila mwisho wa siku nikaona mie sio wa kuajiriwa
 
Jamaa unazingua.. mie nazungumzia bongo kuna comoany zinapiga mpunga mrefu sana na ma CO hawana hata wake wanazalisha tu na mishahara yao hadi 20 + mill. Nawajua mie mwenye CO wa company yangu nalamba hadi 18 + na sina demu nipo single ila najigi jigi kinyama nyama watoto wa level ya mpunga wangu [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu nisaidie hata elf 50 nianzishe biashara ya kushona viatu napigika kinoma nataka nichome moto vyet tu
 
Mkuu nisaidie hata elf 50 nianzishe biashara ya kushona viatu napigika kinoma nataka nichome moto vyet tu
Hapana mkuu, usichome vyeti boss. Komaa nilipo maliza chuo na ujuzi wangu.. wote nilikaa bench lisilo rasmi for 7 years, watu wakinidhulumu na kufanya kazi za watu na kulipwa kiasi kidogo .. hadi familia ilionaga nazingua maana fani zangu nilizo soma sio za kukosa ajira.. but ajira rasmi nilipiga chini nikaanza kukufanyq capital.. na sasa hivi namshukuru Mungu si haba nilipo fika na ninapo elekea..
 
Back
Top Bottom