Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi

Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi

Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi
Ushauri wa bure kabisa, Bawasili inatibika vizuri hospitali. Kama ni in early stages hosp utaandikiwa antihaemorrhoid suppositories, ila kama imekwishakua kubwa unafanyiwa operation na inapona. Achana na dawa za kienyeji, zitaifanya iwe sugu then upate complication na gharama kubwa kutibu.

Karibu hospitali
 
Chukuwa alovera (ondoa miiba) kata vipande vidogo, changanya na tikiti maji ila usiondoe maganda yake na mbegu. Hiyo juice yake ni chungu sana ila kunywa nusu kikombe asubuhi na jioni siku tano. Ni tiba ya asili ya bawasili.
Kiasi gan nakunywa glass moja au
 
Dawa yake ni vyakula tu vya aina ya nyuzi nyuzi na matunda na kunywa maji mengi, na usile vyakula vya wanga sana mfano ugali mikate.
Ale mboga za majani sana mfano kabichi na matunda kama ndizi, parachichi.
 
Bawasili ni tatizo linalosababishwa na tabia za mtu za mtindo wa maisha na ulaji. Hata utumie dawa vipi kama ile mitindo ya ulaji na maisha bado utauendeleza basi utakuwa unapona afu kitu kinarudi tena. Ni kama vidonda vya tumbo ukitumia dawa unapona ukirudia mtindo fulani wa maisha vinarudi upyaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom