Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote pamojaBawasili inawapata na kina mama au ni kwa wanaume tu?
Zipo mkuu dawa za asili zinazoponyesha kabisa, Njoo Nikupe Bure ila ukipona usisahau kunishukuruKuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi
Ulinunua dawa ganiMleta mada chukua huu ushauri wa huyu jamaa. Mimi mwenyewe nimetoka kumnunulia wife dawa anatumia majuzi alijiskia kupata maumivu sehemu ya haja kubwa akaniambia nikamcheki jamaa yangu akanipa dawa yeye ni doctor kwa stage ya mwanzo unapewa dawa ya kupaka ndani ya wiki unapona maana now wife yupo karibu kujifungua na alitumia wiki moja tu. Lakini pia kujua chanzo inasaidia kuepusha madhara ya baadae. Mfano hapa kwangu tunatumia vyoo vya kukaa toka wife kapata tatizo nikashauriana nae atumie choo cha kawaida na kapona fast ila angeendelea kutumia choo cha kukaa ingetumia muda kupona. Na kwa wanawake wajawazito inawatokea inaweza isiwe mimba ya kwanza ikatokea hata ya tatu ila kikubwa kuwahi matibabu dawa za mitishamba ni dawa za kutumia kila wakato sio wakati wa magonjwa ndio unaziparamia hutapona
Nenda famasi kubwa ukiwaeleza watakupa inaitwa ant hemorroid zipo brand nyingi lakini zinatibu xha msingi ujue stage aliopo ili ujue dawa gani uanze nayo nzuri zaidi muone daktari ndipo ununue dawaUlinunua dawa gani
Ndugu ili janga na mm lanitesaZipo mkuu dawa za asili zinazoponyesha kabisa, Njoo Nikupe Bure ila ukipona usisahau kunishukuru