Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi

Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi

Bawasiri ina uhusiano na magonjwa ya zinaa,Acha kufira,acha kunyonya K au MBO.. acha kutiana vidole mkunduni hakika utakuwa salama.
 
kula vitunguu saumu
Naongezea:

Kwa siku tatu hakikisha umemaliza vichane 4/5 vya kitunguu saumu, sizungumzii punje nazungumzia vichane

Kula hivi ambavyo ni vya asili
Screenshot_20230424-213550.png

Sio hivi vya wahindi
Screenshot_20230424-213329.png

Pia tangawizi tafuna ikiwa mbichi hakikisha ndani ya siku 4 umemaliza kizinga kimoja
Screenshot_20230424-213940.png

Usile au usilambe asali yoyote inafanya msisimko wa tumbo kua mkubwa kwa hio inaamsha

Kula chakula Cha Dona ugali na mboga za majani kwa mwanzo ukiwa unaelekea kupona
Screenshot_20230424-214050.png

Tafuta mafuta ya Olive Oil yanauzwa pharmacy 20,000/- chupa kubwa 12,000/- chupa size ya Kati na 8,000/- chupa ndogo kunywa hayo mafuta waambie nipeni mafuta ya Olive Oil ya kupikia kunywa ni dawa
Screenshot_20230424-214226.png

Nenda kwenye maduka ya kisuna waambie nimekuagiza Habbat Soda inauzwa kachupa kadogo 3,000/- ni kachupa kadogo na Ina ladha ya dhabibu Ila na kaukali wa karafuu kwa mbali kunywa umalize walau chupa 3 za Habbat Soda na hali yako utaanza kukaa sawa

Waambie wakupe haya
Screenshot_20230424-214330.png

Asubuhi kunywa maji yaliyowekwa Kijiko kimoja kidogo cha baking soda ile ya kuumulia ngano glass moja kabla haujala chochote

Dukani inauzwa 700/-
Screenshot_20230424-214606.png

Matibabu ni gharama kwa hio jiandae kumwaga pesa ili upone pia zingatia kumaliza dozi mfano ukinunua chupa kubwa ya Olive Oil kila siku asubuhi, mchana na jioni unakunywa kijiko kimoja kikubwa Cha chakula mpaka chupa mafuta yote yaishe sio imefika Kati unahisi nafuu unaacha hapo utakua unajisumbua tu, nikutakie kila la kheri katika uponaji wako,

Lastly, sio muhimu sana Ila ni Cha maana tafuta Mlonge, majani yake sio mbegu, majani ya Mlonge husaidia kuondoa/kupunguza sumu zilizopo mwilini chukua hayo majani saga kwenye Brenda kisha kunywa juice yake au km utaweza yatafune hayo maganda no hapana sio maganda ni majani ya Mlonge (maganda ya Mlonge ni sumu km ukila bila kufanyiwa processing) km yalivyo sio machungu Wala nini yana radha fulani imepooza unayatafuna kisha unasubiri Nusu saa utaanza kuharisha, hapo ndio kusema mwili unachuja sumu na zinaondolewa kwa mfumo wa haja kubwa

Majani ya Mlonge haya
Screenshot_20230424-214728.png

Kingene bila kusahau ni tunda la komamanga nalo pia linasaidia kuweka sawa mfumo wa mmengenyo wa Chakula,

Komamanga hili
Screenshot_20230424-214855.png

NB: usiwe na haraka ya kupona, kupona itachukua muda Ila utapona ukizingatia

Naweka nukta km una swali uliza

Robert1779
 
Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi
Nilipona kwa sawa asili miaka nane iliyo pita mpaka leo sijaona chochote, na ninafanya kazi ya kuendesha magari ikiwa ni chanzo pia cha ugonjwa huo, tatizo ni aliyenitibu siwezi kukuonyesha hata picha yake Wala namba ya simu na sijuagi yuko wapi, nilikutana nae tu stand ya mabasi ya Tabora, tulikua tunakunywa kahawa, nikamgusia hiyo shida mzee mmoja, kesho yake akaniambia nikitoka field ntamkuta hapo atakua amekata magome ya mti na kiyaponda ponda, kweli akanipa na iliniponyesha mazima mpaka leo
 
Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi
Yah Achana na Wahuni humu..Nenda hospitali Kuna dawa ama sindano flani ivi utachoma then utapona bila wasi wasi if inategemea na hatua ilipofikia
 
Na nb ukizubaa ugonjwa ukafika level mbaya utafanyiwa UPASUAJI na ikianza kutoka inje unaweka Marinda yako rehani ... utanishukuru mdogo wangu
 
Kil
Naongezea:

Kwa siku tatu hakikisha umemaliza vichane 4/5 vya kitunguu saumu, sizungumzii punje nazungumzia vichane

Pia tangawizi tafuna ikiwa mbichi hakikisha ndani ya siku 4 umemaliza kizinga kimoja

Usile au usilambe asali yoyote inafanya msisimko wa tumbo kua mkubwa kwa hio inaamsha

Kula chakula Cha Dona ugali na mboga za majani kwa mwanzo ukiwa unaelekea kupona

Tafuta mafuta ya Olive Oil yanauzwa pharmacy 20,000/- chupa kubwa 12,000/- chupa size ya Kati na 8,000/- chupa ndogo kunywa hayo mafuta waambie nipeni mafuta ya Olive Oil ya kupikia kunywa ni dawa

Nenda kwenye maduka ya kisuna waambie nimekuagiza Habat Soda inauzwa kachupa kadogo 3,000/- ni kachupa kadogo na Ina ladha ya dhabibu Ila na kaukali wa karafuu kwa mbali kunywa umalize walau chupa 3 za Habat Soda na hali yako utaanza kukaa sawa

Asubuhi kunywa maji yaliyowekwa Kijiko kimoja kidogo cha baking soda ile ya kuumulia ngano glass moja kabla haujala chochote

Matibabu ni gharama kwa hio jiandae kumwaga pesa ili upone pia zingatia kumaliza dozi mfano ukinunua chupa kubwa ya Olive Oil kila siku asubuhi, mchana na jioni unakunywa kijiko kimoja kikubwa Cha chakula mpaka chupa mafuta yote yaishe sio imefika Kati unahisi nafuu unaacha hapo utakua unajisumbua tu, nikutakie kila la kheri katika uponaji wako,

Lastly, sio muhimu sana Ila ni Cha maana tafuta Mlonge, majani yake sio mbegu, majani ya Mlonge husaidia kuondoa/kupunguza sumu zilizopo mwilini chukua hayo majani saga kwenye Brenda kisha kunywa juice yake au km utaweza yatafune hayo maganda no hapana sio maganda ni majani ya Mlonge (maganda ya Mlonge ni sumu km ukila bila kufanyiwa processing) km yalivyo sio machungu Wala nini yana radha fulani imepooza unayatafuna kisha unasubiri Nusu saa utaanza kuharisha, hapo ndio kusema mwili unachuja sumu na zinaondolewa kwa mfumo wa haja kubwa

Kingene bila kusahau ni tunda la komamanga nalo pia linasaidia kuweka sawa mfumo wa mmengenyo wa Chakula,

NB: usiwe na haraka ya kupona, kupona itachukua muda Ila utapona ukizingatia

Naweka nukta km una swali uliza

Robert1779[/USEKila
[/QUOTE]
Kila mtu analake ukifiata mengine utakufa unasema kula ugali wengne wanasema usile ugali usile asali wengne wanasema ule asali
 
Mleta mada chukua huu ushauri wa huyu jamaa. Mimi mwenyewe nimetoka kumnunulia wife dawa anatumia majuzi alijiskia kupata maumivu sehemu ya haja kubwa akaniambia nikamcheki jamaa yangu akanipa dawa yeye ni doctor kwa stage ya mwanzo unapewa dawa ya kupaka ndani ya wiki unapona maana now wife yupo karibu kujifungua na alitumia wiki moja tu. Lakini pia kujua chanzo inasaidia kuepusha madhara ya baadae. Mfano hapa kwangu tunatumia vyoo vya kukaa toka wife kapata tatizo nikashauriana nae atumie choo cha kawaida na kapona fast ila angeendelea kutumia choo cha kukaa ingetumia muda kupona. Na kwa wanawake wajawazito inawatokea inaweza isiwe mimba ya kwanza ikatokea hata ya tatu ila kikubwa kuwahi matibabu dawa za mitishamba ni dawa za kutumia kila wakato sio wakati wa magonjwa ndio unaziparamia hutapona
Ushauri wa bure kabisa, Bawasili inatibika vizuri hospitali. Kama ni in early stages hosp utaandikiwa antihaemorrhoid suppositories, ila kama imekwishakua kubwa unafanyiwa operation na inapona. Achana na dawa za kienyeji, zitaifanya iwe sugu then upate complication na gharama kubwa kutibu.

Karibu hospitali
 
Ao
Mleta mada chukua huu ushauri wa huyu jamaa. Mimi mwenyewe nimetoka kumnunulia wife dawa anatumia majuzi alijiskia kupata maumivu sehemu ya haja kubwa akaniambia nikamcheki jamaa yangu akanipa dawa yeye ni doctor kwa stage ya mwanzo unapewa dawa ya kupaka ndani ya wiki unapona maana now wife yupo karibu kujifungua na alitumia wiki moja tu. Lakini pia kujua chanzo inasaidia kuepusha madhara ya baadae. Mfano hapa kwangu tunatumia vyoo vya kukaa toka wife kapata tatizo nikashauriana nae atumie choo cha kawaida na kapona fast ila angeendelea kutumia choo cha kukaa ingetumia muda kupona. Na kwa wanawake wajawazito inawatokea inaweza isiwe mimba ya kwanza ikatokea hata ya tatu ila kikubwa kuwahi matibabu dawa za mitishamba ni dawa za kutumia kila wakato sio wakati wa magonjwa ndio unaziparamia hutapona
Apo naona tba o.p tu maana izo dawa za ospital ninekula tona early stage
 
Ao

Apo naona tba o.p tu maana izo dawa za ospital ninekula tona early stage
😂😂😂😂😂 Umekula wakati ni za kupaka😂😂😂 na kingine soma vizuri nilichoandika huwezi tibu bawasiri kama hujajua chanzo cha tatizo kuna mambo mengi kama uzito mkubwa,lishe,ujauzito,matumizi ya vyoo vya kukaa,kukaa sehemu ngumu muda mrefu kwahyo usikimbilie kusema haujapata tiba je ulikua umejua tatizo limeletwa na nn na kama ulijua ulifanyaje kujitoa huko? Yaani early stage alafu dawa isikuponyeshe haya tumia miti shamba mrejesho ulete hapa ila mimekushauri miti shamba ni dawa za kutumia kila mara hata kama hauumwi zinaongeza kinga tofauti na ukiumwa ukazitumia zipo zinaponyesha baadhi ya magonjwa lakini magonjwa mengi hazitibu kwakua mfumo wa ufanyaji kazi wa miti shamba ni tofauti na dawa za hospitali.
 
Ao

Apo naona tba o.p tu maana izo dawa za ospital ninekula tona early stage
Kama umeshatumia dawa muda mrefu na haijapona nadhani operation ni suluhisho. Mtu wangu wa karibu alisumbuliwa na bawasiri kwa miaka mi5 ilikua chronic. Baada ya operation maisha yake yamerudi kama zamani. Mwanzo vyakula vigumu vigumu alikua hali ila baada ya operation anapiga vyakula vyote vizuri tu anazingatia tu kunywa maji kwa wingi matunda kwa sana. Ni kama amepona kabisa.
 
BAWASIRI HUA INAPONA YENYEWE HAILAZIMISHWI KUPONA FUATA MAELEKEZO UNAYOPEWA NA WACHANGIAJI WALENGWA WALIOPITIA KISANGA CHA BAWASIRI NA WAKAPONA, HUTAKI ENDELEA KUUGUZA KINYAMA

NNA SWALI MOJA:

UMEFIKA ILE STAGE YA KURUDISHA KINYAMA NDANI KWA KUJIPIGA DOLE AU BADO HAUJAFIKA ?

Ambapo ukifika hio STAGE ukienda hospital Kuna dawa ya vidoge mfano wa PIPI ya Ivory ni vyeupe unapewa uwe unajitumbukiza mkunduni ili kuzuia kile KINYAMA kisitoke nje, unakaa na hicho kidonge siku nzima kikiwa mkunduni, hili zoezi la kuweka hicho kidonge utafanya mwenyewe km huwezi utamwambia mtu wako wa karibu awe anakupachika lakini lazima akupige Dole ndio kidonge kiingie ndani

Usicheze na bawasiri

Robert1779. Mrs Lissu upo ?
 
Back
Top Bottom