Mleta mada chukua huu ushauri wa huyu jamaa. Mimi mwenyewe nimetoka kumnunulia wife dawa anatumia majuzi alijiskia kupata maumivu sehemu ya haja kubwa akaniambia nikamcheki jamaa yangu akanipa dawa yeye ni doctor kwa stage ya mwanzo unapewa dawa ya kupaka ndani ya wiki unapona maana now wife yupo karibu kujifungua na alitumia wiki moja tu. Lakini pia kujua chanzo inasaidia kuepusha madhara ya baadae. Mfano hapa kwangu tunatumia vyoo vya kukaa toka wife kapata tatizo nikashauriana nae atumie choo cha kawaida na kapona fast ila angeendelea kutumia choo cha kukaa ingetumia muda kupona. Na kwa wanawake wajawazito inawatokea inaweza isiwe mimba ya kwanza ikatokea hata ya tatu ila kikubwa kuwahi matibabu dawa za mitishamba ni dawa za kutumia kila wakato sio wakati wa magonjwa ndio unaziparamia hutapona