Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Kuna waliowahi kukutana humu na kuwa wapenzi ukweli ukweli?
Mimi nilipata mke humu na tulifunga ndoa na sasa tunafamilia kubwa ya watoto wawili wazuri wa kiume.

Na ni mke mwema. Tena ni member wa siku nyingi humu jf, mnataka niwatajie ID yake?

Mke mwema au mume mwema anapatikana popote haijalishi ni jf au fb au insta , kanisani, disco, tamashani ,ila ni wewe na MUNGU wako, ukikaa sawasawa na MUNGU wako atakupa wa kufanana na wewe toka popote pale atakapo kuwepo.

Jiondolee mipaka.
 
Back
Top Bottom