Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Very suni
Utaweza kupata humu baba wa watoto wako na furaha ya maisha yako yote. Jambo la msingi pia usikilize moyo wako kwa kila atakayekuja , na pia usiangalie nje tu angalia ndani zaidi , anaongea nini na nini kilichopo ndani ya moyo wake....

Kama ni kweli havijifichi, pia familia anayotoka pia , MUNGU ni mwaminifu atakupa ishara kipitia moyo wako.
 
Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.

Jiandae[emoji23][emoji23]
 
Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Wewe ni shoga?
 
Wapo
JamiiForums-144351180.jpg
 
We we we watu wamepigwa mashine humu hatari

Tushawahi kusuluhisha hadi kesi humu
 
Back
Top Bottom