Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Mimi nilipata mke humu na tulifunga ndoa na sasa tunafamilia kubwa ya watoto wawili wazuri wa kiume.

Na ni mke mwema.

Mke mwema au mume mwema anapatikana popote haijalishi ni jf au fb au insta , kanisani, disco, tamashani ,ila ni wewe na MUNGU wako, ukikaa sawasawa na MUNGU wako atakupa wa kufanana na wewe toka popote pale atakapo kuwepo.

Jiondolee mipaka.
Hallelujah.

Ngoja nianzishe uzi sasa hivi.comment kama hizi zinatia nguvu
 
Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Wew utakua na homoni za kike....
 
Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom