Sio yeye kujazwa....Kesi itaisha hadi pale mke wako nae atakapojazwa mimba na wewe kulea mtoto sio wako ama mtoto wako aje agongewe mke wake ndipo kesi itakapoisha.
NakaziaUtoto raha sana!
😀😃😃😃Masta anataka kula mke wa mtu ngoja adakwe😀Utoto raha sana!
Jamani wakubwa zangu shikamooni.
Mdogo wenu nimeyakanyaga.kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa.katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba.
Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa.
Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
Usiamini kila kinacholetwa hapa JFIla kuna watu mtapata tabu nyie....Yaaan unaujasiri wa kutembea na mke wa mtu
Baelezee baambie baelewe😃😃😃Dogo tafuta kazi ya kufanya ili ujikeep bussy kidogo,hizi Chai haziwezi kukuondoa kwenye hicho kifungo,hizi chai ni faraja za muda mfupi tu,
Umri haumsubiri mtu.
VAR CHECK
Salamu
Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana.
Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono, katumia kila aina ya dawa lkn haponi,mimi nijuavyo gono ukipiga sindano moja tu inapona within a week but jamaa mwezi wa pili hii ngoma bado haijakata.
Although bado sijamsanua ila nina uhakika mwenye mke atakua kamfanyizia maana jamaa ni mtu wa pwani huko na hiyo ndio michezo yao.
Jamaa yangu yeye...
- Isenye
- wake za watu
- Replies: 25
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki