Wajinga wanazaliwa kila siku ni kweli ila kinachoogopesha ni kuwa wanaotapeliwa sio wapya kuwa walizaliwa na hawajawahi kushuhudia huu utapeli, ni wale ambao wapo na wameshuhudia wengine wakitapeliwa na kulia kwenye vyombo vya habari.Tatizo wajinga wanazaliwa kila siku, wajinga hawawezi kuisha na wanakua ni mtaji kwa hao wapigaji.
Na ajabu na wao wanaingia hivyo hivyo wapigwe waje walie, kweli bongo nyosoWajinga wanazaliwa kila siku ni kweli ila kinachoogopesha ni kuwa wanaotapeliwa sio wapya kuwa walizaliwa na hawajawahi kushuhudia huu utapeli, ni wale ambao wapo na wameshuhudia wengine wakitapeliwa na kulia kwenye vyombo vya habari.
😳 Sijawai kuona kitu kama hicho.Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
Tena uchunguzi wa ubongo aisehHii nchi raia wake wanapaswa kufanyiwa uchunguzi. Hivi kweli bado kuna watu wanashawishika na haya mambo?
Imeishakufa hiyo mzee, wametupiga sana tu..wamepotea na hela..5M is goneHabari wanaJF, nauliza Kuna anayeifahamu hii kampuni au alishawahi kuwekeza tufahamiane.
Kampuni Nzuri sana hio mkuu,hata Hawa matajiri wakubwa wa bongo Kama wakina Mengi,Mafuruki,Mo, Bakhres..etc walitokea kwny hio co. Baada ya kuweka pesa zao na wakalimiwa.Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
[emoji1787][emoji23][emoji2957][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji23][emoji2957]ndiyo 'kudanlodi' kwenyewe huko
bado hamkomi nyie viumbe ?
Kwa kuteseka tenaaa [emoji16][emoji16][emoji38]Mimi naifahamu na nilishawekezaga huko, yaani no changamoto sana kupata mazao au fedha. Mimi nilifunga safari hadi mbinga kufatilia mazao yangu, nilipata gunia zangu 10 za maharage lkn kwa kuteseka sana
Watanzania ni wavivu, wanataka kulala maskini na kuamka matajiri ndio maana wengi wakipigiwa hizo mahesabu za kutajirika wanaamini wanatoka kimaisha.Wajinga wanazaliwa kila siku ni kweli ila kinachoogopesha ni kuwa wanaotapeliwa sio wapya kuwa walizaliwa na hawajawahi kushuhudia huu utapeli, ni wale ambao wapo na wameshuhudia wengine wakitapeliwa na kulia kwenye vyombo vya habari.
Ajabu kweliNa ajabu na wao wanaingia hivyo hivyo wapigwe waje walie, kweli bongo nyoso
Unaenda kupigwa tukioNi kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
Kweli wewe ni Nyanoko. Umeshawekeza ndio unakuja kuuliza? Unataka ukafanye fujo? Hapo bwana Nyanoko Subiri tu matokeo kama utavuna au utavunwaNi kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza
Anauliza kama kuna mtu anayeijuwa kampuni wakati yeye tayari ameingia mkataba nao. Yapaswa yeye atoe maelezo kuhusu kampuni na changamoto zake.K
Kweli wewe ni Nyanoko. Umeshawekeza ndio unakuja kuuliza? Unataka ukafanye fujo? Hapo bwana Nyanoko Subiri tu matokeo kama utavuna au utavunwa
KabisaTena uchunguzi wa ubongo aiseh
Sio mazuzu mkuu ni wale vichaa tulioambiwa katika watz 10-6 vichaa, ndo hawaNchi imejaa mazuzu sana hii.
Kweli mkuuWatanzania ni wavivu, wanataka kulala maskini na kuamka matajiri ndio maana wengi wakipigiwa hizo mahesabu za kutajirika wanaamini wanatoka kimaisha.